Godfrey Monyo wa ITV atupia gwanda bila woga

K,

Hivi hawa waandishi hawatakiwi kuwa impartial? Ingekuwa vipi kama angeripori na full magamba ya kijani?

I thought regardless of our situation, journalist are expected to at least project the appearance of impartiality, no?

Or do we have a case of "desperate situations call for desperate measures" here ?

Msichoelewa ni hiki gwanda wanazovaa chadema rangi zake si sehemu ya rangi za chama za chadema zinazotambulika kisheria ndio maana akina zitto na mbowe huwa wanapiga gwanda hata bungeni, kwahiyo mtangazaji huwpyo huwezi kumbana eti kavaa nguo za chama flani! Chungiza hizo rangi kama zimo kwenye bendera! Hapo ndo utakapo wakubali chadema walivyo makini! Mbunge wa ccm hawezi kuvaa nguo la kijani bungeni atatolewa nje ya bunge hata kama ameshona kama gwanda la chadema!
 
Huyo ni " meku" hamna jipya hapo!

umeona wapi meku kilaza?linganisha na unakotoka utapata jibu,yupo jamaa mmoja humu jamvini aliuliza mbona pale muhimbili madaktari karibia wote bingwa ni wachaga?? Sijui walimjibu vipi,...haya sasa pima mwenyewe
 
Msichoelewa ni hiki gwanda wanazovaa chadema rangi zake si sehemu ya rangi za chama za chadema zinazotambulika kisheria ndio maana akina zitto na mbowe huwa wanapiga gwanda hata bungeni, kwahiyo mtangazaji huwpyo huwezi kumbana eti kavaa nguo za chama flani! Chungiza hizo rangi kama zimo kwenye bendera! Hapo ndo utakapo wakubali chadema walivyo makini! Mbunge wa ccm hawezi kuvaa nguo la kijani bungeni atatolewa nje ya bunge hata kama ameshona kama gwanda la chadema!

Tafadhali soma maendelezo yaliyo agua maoni yako kabla hata sijayasoma, hapa

Yule anayapenda sana haya magwanda regardless kua yanapendwa na CDm au la..piakuna mkanganyiko kwa baadhi ya watu juu ya haya mavazi..manake kuna mashati yanauzwa (from indonesia yako vile) juzi nimelivaa nlipoenda nalo job bos wangu ananambia ooh umevaa nguo ya chadema! nadhani hizi gwanda zinapendwa zaidi na cdm bt hazina rangi ya chama chochote so ni mitazamo 2 na mazoea yetu ya ku generalize mambo..THOUGH GWANDA NI IDENTITY YA CDM!
 
Bias tupu.
Habari gani kama angepiga kitu cha kijani? Waandishi wa habari wanatakiwa kuwa neutral. Nahisi hata Joff hakuwa na maana hiyo. Sometimes tuwe tunaangalia hoja zetu jamani. This is too low for us.
 
Gwanda si vazi la CDM lilikuwepo,ila limechukuliwa na CDM kama vazi la mpiganaji ndiyo maana linatumika na CDM, lilipata umaarufu kama alama ya CDM pale mh Mbowe alipokuwa akilivaa wakati wote wa kampeni za urais 2005, sikuwahi kuona picha ya mbowe katika mavazi mengine zaidi ya gwanda mpaka miaka ya hivi karubuni. Magazeti yalikuwa yakiweka picha zake akiwa kwenye gwanda.

Hivyo basi kulingana na jamii nzima ilivyolichukulia vazi hili kama alama ya CDM, itabaki kuwa hivyo hata kama avaae si mwanacdm, atakuwa anaitangaza cdm..maana jamii ndiyo inaona hivyo na itabaki kuwa hivyo.
 
Ahsante sana Chadema, kwa ujio wako tunayaona maisha ktk mwanga bora sasa, na si zile sera za kutishiana maisha, kuogopaaaana, kumtukuza mtu mmoja utadhani yeye ndo mungu! VIVA CHADEMA!!
 
Kwa sababu hiyo hiyo ya impartial kwa nini TBC hawatangazi hotuba na taarifa nyingine za CDM??
Wakati huo huo hata habari za mjumbe wa CCM kujamba akiwa katika kikao kwa shibe zinatangazwa kama habari za kitaifa.
Si lazima uvae gwanda hata ukiingia kigugumizi kutangaza habari za chama fulani na wewe si impartial.

MKUKI MTAMU SANA KWA NGURUWE KWA BINADAMU MCHUNGU

K,

Hivi hawa waandishi hawatakiwi kuwa impartial? Ingekuwa vipi kama angeripori na full magamba ya kijani?

I thought regardless of our situation, journalist are expected to at least project the appearance of impartiality, no?

Or do we have a case of "desperate situations call for desperate measures" here ?
 
let's suppose (suppose mind you) magwanda seen on tv are meant to represent chadema. I say "suppose" because this need not be so. I recall wearing my converse khaki fall/winter jacket once - of course with matching khaki pants, some narrowminded individuals (or possible jokesters) immediately associated that with chadema even though i liked the "dj premier" look of the outfit more than any chadema connotation. By the way, i had some "foreign correspondent" peter jennings type (what y'all eighties babies know 'bout jennings, american library washafungua tena baada ya the dar embassy bombings, ah, i forgot you get cable nowadays, plus the internet?) magwanda waaaay back then, before chadema was even a popular household name. Nuff said.

Could this journo be adopting that same "foreign correspondent" look more than a chadema look? Do you guys even know there is such a khaki suit look embraced by a wide range of people from foreign correspondents to rastafarians? Is damian marley chadema? What are you going to say next, that damian "jr. Gong" marley is really damian marealle?

But, on the real, more serious level. Let's go back to my original supposition.

I go back to some ground principles of journalism.

The journalist is never to inject his/her personal view into the story. I recall listening to many a bbc world service interviews, in which the journalist -mostly foreign correspondents dealing with persons unfamiliar with the underlying role of a journalist- would be asked "what do you think about that?" often after an uncompromising blatant question.

And the bbc journalist would quote from the rulebook something to the effect of "what i think personally is not of importance here", stressing that he/she is just telling the story, reporting the facts, and not compromising the story with her/his opinions and political convictions.

Are we celebrating the corruption of this central tenet of journalism just because the beneficiary is chadema?

What if the beneficiary was ccm?

Are we reducing the struggle for a principle based leadership and professionalism to a simple game of who is winning by whatever means available?

If so, where do we get the moral authority to shame corruption? Isn't this a sort of corruption of journalistic integrity?

kiswahili tafadhali
 
Wabongo bwana, unapenda kujikweza, Mimi Injinia, umeulizwa?? sasa mbona unadanganya kazi yako mkuu. Nitakuumbua siku moja, hebu bisha uone kama sijaweka taarifa zako pamoja na e-mail yako halisi hapa jamvini.

Aisee umemjibu vizuri sana huyo anayejiita Rejao.. Binafsi yeye ni kati ya watu wanaonikera sana humu jamvini.. A man is not logical at all, yeye kila kazi itakayotajwa humu jamvini basi ndo kazi yake pia. Yaani anajifanya anajua kila kitu. Ningekuwa na utaalam wa kulink ningebandika comments na reply zakn juu ya utaalam wake wa kila kitu.
Shem on her.. Hawez kuwa HIM
 
Kwahiyo Nape anavyovaaga naye utamwita mwanachama wa magwanda? Mimi ni injinia na kwenye kazi yangu huwa navaa kombat, na mimi mtaniita mwana magwanda pia??
Acheni kulink vitu bila kureason.

haijawahi kutokea, mbinguni, duniani na hata motoni injinia kilaza kama wewe.
 
Kwa sababu hiyo hiyo ya impartial kwa nini TBC hawatangazi hotuba na taarifa nyingine za CDM??
Wakati huo huo hata habari za mjumbe wa CCM kujamba akiwa katika kikao kwa shibe zinatangazwa kama habari za kitaifa.
Si lazima uvae gwanda hata ukiingia kigugumizi kutangaza habari za chama fulani na wewe si impartial.

MKUKI MTAMU SANA KWA NGURUWE KWA BINADAMU MCHUNGU

hahahahaahahahahahahahahah,,, mkuu umetishaaaa!!!!..... Hahahh,, umenivunja mbavu jumapili asubui,na ninakwenda kanisani nikiwa na furaha sana!, hata maombi yangu leo naamini yatasikilizwa ipasavyo.
 
Lazima utakuwa egn. Wa richmond umelogwa wewe pia........
Wabongo bwana, unapenda kujikweza, Mimi Injinia, umeulizwa?? sasa mbona unadanganya kazi yako mkuu. Nitakuumbua siku moja, hebu bisha uone kama sijaweka taarifa zako pamoja na e-mail yako halisi hapa jamvini.
Naona kitendo cha mimi kuwa injinia kinawaumiza sana vijana. Ndio hivyo, imeshatokea mimi ni injinia, yes a Certified Engineer!
 
Back
Top Bottom