Baada ya kuisambaratisha vibaya CCM kwenye uchaguzi wa udiwani wa kata nne jijini Arusha mjumbe wa Kamati Kuu Chadema Godbless Lema kesho atahutubia mkutano mkubwa wa hadhara mjini Mbalizi Mbeya vijijini.
Akizungumza na waandishi wa habari mwenyekiti wa Kamati ya maandalizi ya mkutano huo Kissman Mwangomale amesema Lema amealikwa kuwa mgeni rasmi na wanachama wa mjini Mbalizi kwa kuthamini kazi kubwa anayofanya ndani ya Chadema.
Chadema inaongoza vijiji vyote vilivyoko katika kata za Utengule Usongwe na Nsalala zote za mjini Mbalizi.
Mkutano huo utafanyika katika viwanja vya mahubiri vilivyoko Tazara mjini Mbalizi.
Lema mbali ya kuhutubia mkutano wa hadhara anatarajiwa pia kufungua matawi ya Chadema na kupokea mamia ya wanachama wapya.
Kiongozi huyo wa ngazi ya juu ya Chadema anatarajiwa kusindikizwa na wabunge maarufu wa Kanda hiyo Mchungaji Peter Msigwa,Davidi Silinde na Joseph Mbilinyi anayejulikana kwa jina maarufu la Rais wa Mbeya.
Source:Tanzania Daima.
Hivi CHADEMA uchaguzi wa Arusha kumbe ulikuwa na maana sana kwenu?
Mimi nilijua imani yenu kuwa Arusha ni ngome yenu itafanya kazi!?
Mbona tena mnajitutumua kushangilia ushindi kwa kata ambazo kimsingi zilikuwa zenu?
Arusha ni yenu, kata ni zenu, kwanini mshangilie kuiangusha CCM?
Acheni hofu kwa CCM jamani, hizi ni siasa tu.
Mkuu , asante kwa hiyo picha aisee ! Nakula ugali na bamia lakini ghafla nimejisikia kama nakula bonge la kuku !
siku zombe alipomuita lema jambazi na akamwaga ushahidi lkn lema alikaa kimya na kukwepa wandishi wa habari, niliiogopa dunia. lema ni jambazi. wanambeya kueni makini na vilipuzi. ugaidi usije fanyika huko
HAMY-D kama mlijua kata za Arusha ni za CDM kwanini mliweka wagombea na mwenzako Juliana Shonza kujitapa kuwa mtashinda 4-0?Hivi CHADEMA uchaguzi wa Arusha kumbe ulikuwa na maana sana kwenu?
Mimi nilijua imani yenu kuwa Arusha ni ngome yenu itafanya kazi!?
Mbona tena mnajitutumua kushangilia ushindi kwa kata ambazo kimsingi zilikuwa zenu?
Arusha ni yenu, kata ni zenu, kwanini mshangilie kuiangusha CCM?
Acheni hofu kwa CCM jamani, hizi ni siasa tu.
Hivi CHADEMA uchaguzi wa Arusha kumbe ulikuwa na maana sana kwenu?
Mimi nilijua imani yenu kuwa Arusha ni ngome yenu itafanya kazi!?
Mbona tena mnajitutumua kushangilia ushindi kwa kata ambazo kimsingi zilikuwa zenu?
Arusha ni yenu, kata ni zenu, kwanini mshangilie kuiangusha CCM?
Acheni hofu kwa CCM jamani, hizi ni siasa tu.
Mungu mmojaAsanteni sana , tunawatakia kila la heri .
Tatizo wewe una kariri mambo na hiyo kitu itakutesa sana ungekuwa unataka kujua ungeniuliza unapo sema wasomi unamaanisha nini? kwa kukusaidia mimi naamini MSOMI NI MTU ANAYE JITAMBUA KISIASA, KIJAMII, KIUTAMADUNI NA KIJAMII KULINGANA NA ELIMU ALIYO NAYO, tatizo unachanganya kati ya elimu ya darasani na mtu aliye soma then akaelimika ukisoma na kuelimika ndo unatakiwa uitwe msomi thats y nasema CHADEMA WOTE NI WASOMI hata kama ni la vududu WAME SOMA, WAKAELIMIKA, WAKAJITAMBUA na NDIO WASOMI bt Utajuta kwa WASOMI KUWA CHADEMAChadema hakuna mtu asiye msomi eeeeeee!.
mbowe.....kidato cha nne.
msigwa....kidato cha nne.
sugu.......std seven.
lema.......kidato cha pili au hawa siyo wanachadema?
Lema kufanya siasa ni ishara ya utawala bora wa Chama Cha Mapinduzi na uongozi bora wa Jakaya Kikwete. Hivi mnajua kuwa kuna nchi ambazo wezi wa magari hawatakiwi hata kupiga kura, achilia mbali kuwa wabunge?