Chadema hakuna mtu asiye msomi eeeeeee!.
mbowe.....kidato cha nne.
msigwa....kidato cha nne.
sugu.......std seven.
lema.......kidato cha pili au hawa siyo wanachadema?
Lema kufanya siasa ni ishara ya utawala bora wa Chama Cha Mapinduzi na uongozi bora wa Jakaya Kikwete. Hivi mnajua kuwa kuna nchi ambazo wezi wa magari hawatakiwi hata kupiga kura, achilia mbali kuwa wabunge?
Ki msingi Molemo harakati ambazo watu wa mbeya vijini wameamua kuzifanya zitawashangaza wengi mana vijana wasomi wenye uwelewa wamekuja kusaidiana na vijana na wanachama wote wakongwe wa chadema ndani ya mby v mana chadema hakuna mtu asiye msomi coz ya power of argument waliyo nayo sasa kama wewe uko mbeya vijijini kesho tutasaidiana kuwa update wana jamii kinacho fanyika, mana hata mimi ni mjumbe wa kamati ya maandalizi ya mkutano huo ko wana jamvi kaeni mkao wa kupata newz, HARAKATI ZA KUIOKOA TZ NDANI YA MBEYA ZILIANZIA MBY V NA TUTAHAKIKISHA CCM WANAKAA
Baada ya kuisambaratisha vibaya CCM kwenye uchaguzi wa udiwani wa kata nne jijini Arusha mjumbe wa Kamati Kuu Chadema Godbless Lema kesho atahutubia mkutano mkubwa wa hadhara mjini Mbalizi Mbeya vijijini.
Akizungumza na waandishi wa habari mwenyekiti wa Kamati ya maandalizi ya mkutano huo Kissman Mwangomale amesema Lema amealikwa kuwa mgeni rasmi na wanachama wa mjini Mbalizi kwa kuthamini kazi kubwa anayofanya ndani ya Chadema.
Chadema inaongoza vijiji vyote vilivyoko katika kata za Utengule Usongwe na Nsalala zote za mjini Mbalizi.
Mkutano huo utafanyika katika viwanja vya mahubiri vilivyoko Tazara mjini Mbalizi.
Lema mbali ya kuhutubia mkutano wa hadhara anatarajiwa pia kufungua matawi ya Chadema na kupokea mamia ya wanachama wapya.
Kiongozi huyo wa ngazi ya juu ya Chadema anatarajiwa kusindikizwa na wabunge maarufu wa Kanda hiyo Mchungaji Peter Msigwa,Davidi Silinde na Joseph Mbilinyi anayejulikana kwa jina maarufu la Rais wa Mbeya.
Source:Tanzania Daima.
Muda saa nane mchana
utakuja kufungwa kwa kauli zako...we fikiri huwezi kupatikana
Lema kufanya siasa ni ishara ya utawala bora wa Chama Cha Mapinduzi na uongozi bora wa Jakaya Kikwete. Hivi mnajua kuwa kuna nchi ambazo wezi wa magari hawatakiwi hata kupiga kura, achilia mbali kuwa wabunge?
duh! Huyo jamaa naona sasa ameamua kuvamia nyanda za juu baada ya heka heka za arusha. Hivi huwa hachoki?
hivi mtwara anaenda lini kumwaga neno la ukombozi?
Lema kufanya siasa ni ishara ya utawala bora wa Chama Cha Mapinduzi na uongozi bora wa Jakaya Kikwete. Hivi mnajua kuwa kuna nchi ambazo wezi wa magari hawatakiwi hata kupiga kura, achilia mbali kuwa wabunge?
Chama cha CHADEMA Leo kitafanya mkutano wa injili maeneo nzovwe mbeya mjini msikose waumini wote.