Godbless Lema avuliwa ubunge

Status
Not open for further replies.
kabla ya kutuonesha mafanikio ya mh Godblees Lema nafikiri ni vyema ungetueleza ahadi alizozitoa kwenye kampeni wkt wa uchaguzi, vinginevyo itakuwa ni kupoteza muda. nawasilisha.
 
Kama Lema alivyosema maamuzi Judge Rwakibarila yametoka ikulu ni kweli kabisa, kwa wanasheria LEMA alitakiwa kuhukumiwa na Sheria ya uchaguz ambapo makosa yote mawili yalitakiwa yaangukie ktk kifungu cha 108 (11) (a) ambayo humrusu aliyevuliwa ubunge kugombea tena BUT judge akatumia kifungu cha 114 cha sheria ya uchaguz ambayo inazungumzia ILLEGAL PRACTICE ambayo inahusiana na mambo ya vitendo vya rushwa ambayo inamzuia mgombea kutogombea kwa kipind kisichopungua miaka 5
 
ninachojua ccm wanazidi kujidhalilisha kwa kuwa kamwe hawtapata hili jimbo tena katika uhalali wowote labda wahamishie polisi wote hapa arusha na mabomu yao ya machozi yote alafu waibe kura wabandike zao za wizi lakini hata hivyo itakuwa ngumu kwa kuwa wana Arusha wako tayari kufa kuliko kufanywa viroba vya kubeba mafisadi wa ccm na kama ccm hawaamini walete wanayemwona mzuri halafu Chadema waweke hata jiwe jiwe litashinda kwa hiyo kutengua matokeo ya Mh. Lema bado sio jibu, ccm kumbukeni Arumeru mashariki itakuwa zaidi Arusha mjini na aibu kubwa kwa ccm, kuna Maandiko Ya Mwenyenzi Mungu yanasema "KWA KUWA WALIMKATAA MUNGU KATIKA FAHAMU ZAO, MUNGU ALIWAACHA WAFUATE AKILI ZAO NA WAYAFANYE YASIYOFAA" ndivyo ilivyo ccm leo hii.
 
Am a good Lawyer! nitumieni jujment ya kesi ya lema niichambue sasa ivi wizin faiv minitz. Ninahasira hadi ninaumwa.
Nitaahirisha kesi zote ninazozichambua hapa nifanye hiyo kazi nifanye iyo kazi.
Nataka nijue pia ni Sh. Ngapi wanamdai tuichange yote leo af turudi uwanjani!
 
Ni vyema jambo hili liangaliwe kwa umakini sana. CDM wasikurupuke kutoa maamuzi. Niliipenda sana kauli ya mheshimiwa Mbowe. Tuwape muda wakae kwanza. Vilevile hata CCM nao waangalie, kama uchaguzi ukirudiwa alafu wakashindwa tena, itakuwa pigo kwao. Watazidi kupotea ktk siasa...
 
kabla ya kutuonesha mafanikio ya mh Godblees Lema nafikiri ni vyema ungetueleza ahadi alizozitoa kwenye kampeni wkt wa uchaguzi, vinginevyo itakuwa ni kupoteza muda. nawasilisha.


Weka kwanza za CCM kwa miaka 50, ndo ujue kama unapoteza muda au la.
 
kabla ya kutuonesha mafanikio ya mh Godblees Lema nafikiri ni vyema ungetueleza ahadi alizozitoa kwenye kampeni wkt wa uchaguzi, vinginevyo itakuwa ni kupoteza muda. nawasilisha.

Weka ahadi za kikwete za 2015 + 2010. Utapata jumla ya ahadi ngapi. Afu niambie ata kama ametimiza ahadi 5???.
 
Wanajamii, kwanza napenda kuyaweka haya kama kiangalizo kwa ccm wakati wana kauli mbiu maisha bora kwa kila mtanzania wakumbuke kwamba hawa watanzania si wajinga kama wanvyofikiri, wamechoka ahadi zisizotekelezeka takribani miaka hamsini, kila kukicha maisha yamezidi kuwa magumu badala ya petrol ishuke kuelekea yaliko mafuta ya taa, wao walipandisha mafuta ya taa yafuate petrol hii akili matope? Haya sukari inazalishwa hapa nchini lakini bei ni kubwa kuliko ile ya malawi,msumbiji na zambia alafu wanawakataza wafanyabiashara kuingiza sukari kwa wingi kwa kuwa wataua eti viwanda vyetu, hii ni kweli? Wataua vyetu au wataua biashara ya mafisadi walokumbatiwa na ccm? Waendelee kuwakumbatia maana majibu ya maumivu ya wananchi ni kuipiga ccm chini kifo cha mende, ccm haiwezi kuwafanya watanzania wapumbavu miaka yote, haiwezekani kamwe na kiama ndio sasa kwa ccm waandae jeneza la kujizika wenyewe.
 
wana jf, gazeti la mwananchi la leo tarehe 6 april 2012 limeandika godbless lema amefungiwa kugombea ubunge kwa kipindi cha miaka mitano. Je,habari hii ya kufungiwa miaka mitano ni ya kweli?
 
Ikulu hawawezi kupinga kuwa na influence kwenye mahakama zetu TZ.....hili linajulikana sana...sema watanzania ni wasahaulifu sana....yamewahi kufanywa maamuzi na mahakama za TZ ambayo yamewahi kuhusishwa na ikulu kabisa....mifano tunayo sana...cha kushangaza kwa hili la Lema ni kwamba this time ikulu wamejibu fasta sana....wakiashiria kuguswa moja kwa moja kwani Lema ameongea wazi kuwa ikulu imehusika...........maamuzi mengine yaliyowahi kutolewa na mahakama na kuhusishwa na ikulu hayakuwahi kujibiwa fasta na ikulu kwani wahusika hawakuwataja ikulu moja kwa moja...Labda sasa watanzania waamke wayatafakari yale maamuzi tata ya mahakama zetu TZ yaliyowahi kuhusisha ikulu....ili iwe kama reminder kwa ukulu kuwa wamewahi ku influence mahakama kwenye maamuzi yake tata.....na tunaposema ikulu hapa itambuliwe kuwa ni JK....yeye ndiye amepanga ikulu yetu...na hawa kina salva wanaongea kwa niaba yake..hata kama wanatumia lugha kali..haya yanatoka kwa JK....Kwa kujikumbusha tu moja ya maamuzi tata ya mahakama yaliyowahi kuhusishwa na ikulu ni ile amri ya hivi majuzi tu iliyotolewa na mahakama kuu ya kazi TZ dhidi ya madaktari waliokuwa kwenye mgomo...ikiwataka madaktari wasitishe mgomo na warudi kazini mara moja......kama wengi mnavyojua ile hukumu iliisha bila amri ya mahakama kutekelezwa(madaktari walirudi baada ya kuongea na JK).......na pia JK wakati akiongea na madaktari aliulizwa na madaktari kuhusu amri ya mahakama na akasema mbele yao kuwa hayo ya mahakama wayasahau.......Ninashangaaa sana ikulu inapokuja na statements hizi kwa kina Lema wakati tunajua kuwa TZ ikulu ina influence kubwa kwenye maamuzi kwenye mahakama zetu.....Watanzana wakumbuke kuwa dawa mojawapo ya tatizo hili ni kuondoa kile kipengele kwenye katiba yetu kinachoruhusu majaji kuteuliwa na rais.....yooote haya tunayaona leo kwa kuwa majaji hawa wanafanya mambo ya hovyo hovyo nchi hii kama sehemu ya kulipa fadhila kwa anayewateua..yaani rais(ikulu)...........
 
Hivi kwenye bajeti ya mwaka ya serikali huwa kuna fungu la ziada kwa ajili ya chaguzi ndogo (miscellaneous fund) au ni kutoka katika development expenditure?
 
Nahitaji kusoma nakala ya Hukumu kama nitaona kuna dalili za CCM kuingilia kwa mchakato wa kesi husika, nitajitoa rasmi CCM na kujiunga na CHADEMA.
Haiwezekani kila mahala panajisiwe kwa ajili ya interest ya kundi la wachache, hata mahakama iliyotakiwa kuwa mzani na kimbilio la wote inajisiwe?? Hapana, nahitaji niisome hiyo hukumu...kabla ya kufanya maamuzi.

nami nakuunga mkono
 
Ndugu mjengwa nikueleze tu kwamba utapandisha presha bure ccm haikubaliki na watanzania hawadanganyiki tena, ni lini uliwahi kuona mahkama zetu zimetenda haki na kwa udhibitisho gani? wewe kama mtanzania mzuri mwana ccm mzuri na una haki ya kugombea popote Tanzania njoo uchukue hili jimbo kwa ticket ya ccm labda unaweza kununua shimo la kukufukia, kifupi ccm tafuteni handsome au very beautiful mumsimamishe hapa arusha na msisahau kuwaleta mwaziri wote mnaowaona wazuri na wanafaa na marais,mawziri wakuu na usalama wa taifa vyombo vya dola vyote hapa Arusha nakuhakikishia kuwa wote itawezekana kabisa mkafia hapa, Arusha huyo mwingulu mchimba kaburi akaanze kuchimba kule kwao,nape yeye saizi ya Mh. Nassary
 
wana jf, gazeti la mwananchi la leo tarehe 6 april 2012 limeandika godbless lema amefungiwa kugombea ubunge kwa kipindi cha miaka mitano. Je,habari hii ya kufungiwa miaka mitano ni ya kweli?

Mkuu, soma vizuri hilo gazeti Lema hajafungiwa kugombea.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom