hapo kwa rangi si kweli uko kwingine umepatia kidogo...dogooo..yani mpaka leo hujui what a girl needs from a man??
1- mshobobo/mtalimbo usiolala dolo na shughuli uiweze
2- pesa na magari..maana hawa wenzetu hataki hatakuisiki kitu iitwayo shida
3- kidoogo utanashati uwepo
4- usiwe chapachapa..yani wanataka wakiwa na wewe uwe wake peke yake lakini pia wanaishi kwa hisia kuwa lazma wanaume tunachapa kizuri wasijue wanashare na nani
5- uwe mtu wa story sana na nyingi ziwe za uongo basi wao mioyo kwatuuu..maana imeandikwa hawa wenzetu wanaupenda na kuukubali uongo kuliko ukweli.
HAYA NDIO MAMBO BASIC AMBAYO MTOTO WA KIKE HANA JINSI YA KUKUENGU KATIKA VIGEZO VYA KUWA NAYE..HAWANA UJANJA WA KURUKA MTEGO WENYE VIGEZO HIVO HAPO JUU NA NIMEVIWEKA KWA MPANGILIO MAHUSUSI.
kwa hiyo mwenyekiti ukipata mwenye sifa hizo utaacha kubania k yako??hapo kwa rangi si kweli uko kwingine umepatia kidogo...
hapo kwa rangi si kweli uko kwingine umepatia kidogo...
provided factors zingine zipo constant mkuukwa hiyo mwenyekiti ukipata mwenye sifa hizo utaacha kubania k yako??
tatizo wanaume waliofulia wanaishi kwa kujihisi sana...mapenzi ya kweli huna ukiachwa unasingizia kisa wewe maskini..tulieni muone kama na sisi hatujatuliaIla kwa wengine si kweli? yawezekana kwako si kweli ila kwa wengine ndio namba 1 priority
tatizo wanaume waliofulia wanaishi kwa kujihisi sana...mapenzi ya kweli huna ukiachwa unasingizia kisa wewe maskini..tulieni muone kama na sisi hatujatulia
Pesa yako, gari na nyumba
am a girl and i want nothing bt true lov and faithfull from a man
hapo kwa rangi si kweli uko kwingine umepatia kidogo...
sidhani kama kuna mtu atapewa mapenzi ya kweli kabisa aache kutulia....tulieni wanaume....tatizo hamtulii maquestion mark meengi mnatuwekea kichwani...mnategemea tutakaa..pesa si kitu kaka ..antention!Smile mbona unakwepa hoja? mii nimekueleza kama wewe mkwanja sio namba one priority wengine ndio.mbona hata kuna dada zetu huwa katika stori wanatueleza kuwa mwanaume asiye na mkwanja na usafiri NO! tena huwa wengine wana generalize wanaita mwanaume suruali!
teh iyo love mnayo?hiyo inakua si kweli hasa kwa wanawake ambao wana kazi zao na pesa zao, unakuta yeye hana shida ya hela anataka love peace and happiness...sema kuna walee masharobibi ambao yeye kuanzia hela za kununua rangi za kucha mpaka nyumba anataka apewe na mwanaume
am a girl and i want nothing bt true lov and faithfull from a man
umenitoa machozi
teh iyo love mnayo?