Girls girls girls mhhh i have your attention now ( no men please :d)

dogooo..yani mpaka leo hujui what a girl needs from a man??
1- mshobobo/mtalimbo usiolala dolo na shughuli uiweze
2- pesa na magari..maana hawa wenzetu hataki hatakuisiki kitu iitwayo shida
3- kidoogo utanashati uwepo
4- usiwe chapachapa..yani wanataka wakiwa na wewe uwe wake peke yake lakini pia wanaishi kwa hisia kuwa lazma wanaume tunachapa kizuri wasijue wanashare na nani
5- uwe mtu wa story sana na nyingi ziwe za uongo basi wao mioyo kwatuuu..maana imeandikwa hawa wenzetu wanaupenda na kuukubali uongo kuliko ukweli.

HAYA NDIO MAMBO BASIC AMBAYO MTOTO WA KIKE HANA JINSI YA KUKUENGU KATIKA VIGEZO VYA KUWA NAYE..HAWANA UJANJA WA KURUKA MTEGO WENYE VIGEZO HIVO HAPO JUU NA NIMEVIWEKA KWA MPANGILIO MAHUSUSI.

Umesahau kigezo muhimu cha shule a.k.a Elimu ya muhusika.Hilo linamatter sana watu hawataki kuwa na mazezeta maaana unaweza ishia kuzaa mtoto aliye na maji matupu kichwani!
 
sidhani kama kuna mtu atapewa mapenzi ya kweli kabisa aache kutulia....tulieni wanaume....tatizo hamtulii maquestion mark meengi mnatuwekea kichwani...mnategemea tutakaa..pesa si kitu kaka ..antention!

Smile kuna siku moja nilikutana na habari moja Yahoo News iliyokuwa ikielezea samaki mmoja Wobbegong shark, aka carpet shark that has devours/swallow another shark, nilitazama picha tu ya tukio sikuwa na muda wa kusoma habari yote,ila kulikuwa na comments mbalimbali za wadau nikawa napitia..nilikutana na comment moja ilinifanya nicheke sana ilisomeka hivi ...."My first wife was a Wobbegong. I walked by. She sucked me in, swirled me around for 14 years and spit me out with nothing"
 
1)mapenzi ya kweli na uaminifu..
2)elimu na pesa kidogo ili tusaidiane kwenye maisha..
 
.................
5- uwe mtu wa story sana na nyingi ziwe za uongo basi wao mioyo kwatuuu..maana imeandikwa hawa wenzetu wanaupenda na kuukubali uongo kuliko ukweli..................

Hii mwanzoni ilikuwa ikinifanya niwakose sana, ila baada ya kufuzu kudanganya nilikuwa na-enjoy sana hadi nikaona inatosha!
 
Wanawake hawajuagi wanachokitaka... Take it from me.. Na ukiapply walichosema hapa utalambwa kibuti fastaa..
 
hapo kwa rangi si kweli uko kwingine umepatia kidogo...

smile acha kudanganya, kweli kidume hakikufikishi utaendelea kuwa mwaminifu kwake??? hiki ni no 1 kwa kuvunja ndoa nakwambia. jamaa kajitahidi kupanga mambo sequentially
 
faithfulness naona imekuwa mimbo ya taifa kwenye hii thread,kwani kuna waaminifu mjini siku hizi? Mi naona bingo full usanii kwenye malavidavi
 
imeandikwa wapi???

5- uwe mtu wa story sana na nyingi ziwe za uongo basi wao mioyo kwatuuu..maana imeandikwa hawa wenzetu wanaupenda na kuukubali uongo kuliko ukweli.

HAYA NDIO MAMBO BASIC AMBAYO MTOTO WA KIKE HANA JINSI YA KUKUENGU KATIKA VIGEZO VYA KUWA NAYE..HAWANA UJANJA WA KURUKA MTEGO WENYE VIGEZO HIVO HAPO JUU NA NIMEVIWEKA KWA MPANGILIO MAHUSUSI.
 
dogooo..yani mpaka leo hujui what a girl needs from a man??
1- mshobobo/mtalimbo usiolala dolo na shughuli uiweze
2- pesa na magari..maana hawa wenzetu hataki hatakuisiki kitu iitwayo shida
3- kidoogo utanashati uwepo
4- usiwe chapachapa..yani wanataka wakiwa na wewe uwe wake peke yake lakini pia wanaishi kwa hisia kuwa lazma wanaume tunachapa kizuri wasijue wanashare na nani
5- uwe mtu wa story sana na nyingi ziwe za uongo basi wao mioyo kwatuuu..maana imeandikwa hawa wenzetu wanaupenda na kuukubali uongo kuliko ukweli.

HAYA NDIO MAMBO BASIC AMBAYO MTOTO WA KIKE HANA JINSI YA KUKUENGU KATIKA VIGEZO VYA KUWA NAYE..HAWANA UJANJA WA KURUKA MTEGO WENYE VIGEZO HIVO HAPO JUU NA NIMEVIWEKA KWA MPANGILIO MAHUSUSI.

Nakubali kabisa hasa hapo tatu za juu,
pia ongezea tena weka namba moja kupendwa kwa matendo ya ukarimu, kusikilizwa, kuheshimiwa, kujaliwa na ndugu zako, kuhurumiwa na kadhalika,

NB nyi wanaume kubalini tu kuwa huwa tunavumilia tu, hamuwezi kutupenda kikamilifu. hivyo lazima muheshimu pendo tunalowapa, kwani nyie hamuwezi kamwe kuwa wakamilifu
 
Back
Top Bottom