Gharama za kuingiza gari tanzania

KASRI

Member
May 2, 2009
93
22
Habari wana JF;

Nataka kununua gari (Used) Japan liende nyumbani TZ. Naomba kufahamu gharama zinakokotolewaje hapo TZ maana sifahamu itanigharimu kiasi gani. Gari lenyewe ni la mwaka 2000, bei yake CIF - Dar es Salaam ni USD 4000.

Natanguliza shukurani kwa msaada wenu.
 
Mkuu habari ya wewe
unaweza kusearch/kutafuta (sina uhakika kama ni kiswahili sahihi) kutumia keywords [magari, ushuru,vat na mengineyo] ndani ya JF na ukapata msaada kabla hujaangaika kuuliza swali. Mambo mengi yameshadiliwa na wadau mbali mbali
Msome Ramthods, kachambua kwa uzuri gharama ya kuingiza gari nchini
https://www.jamiiforums.com/business-and-economic-forum/37884-ushuru-wa-magari-tanzania.html
 
Mkuu usipate tabu piga 50% ya CIF kama gari ni la mwaka 2000 and above. for a car with more than 10 yrs form date of manufacturer piga 62%ya CIF unapata ushuru na mambo mengine ya hapa nyumbani kazi kwako.
 
Back
Top Bottom