Kutoa gari Tanzania kuleta Kenya, utaratibu ukoje?

BM X6

JF-Expert Member
Nov 24, 2020
1,360
4,149
Hello Guys, I hope everyone is doing well.

Naomba kuuliza kwa wajuzi, Mimi ni Mtanzania ila naishi Kenya kwa sasa, je ikiwa nataka kununua Gari Tanzania na nataka kuitumia Kenya je utaratibu unakuwa aje ukifika nayo border? Na naweza kubalisha namba plate nikatoa ya Tz na kuweka ya Kenya? Na kama haiwezekani Sasa itabidi nitumie namba plate ya Tz huku Kenya, so utaratibu napo inakuwaje kwenye kulipia pamoja na Gharama zake.

NB: Hapa Nairobi huwa naona Magari mengi yenye number plate ya Tz sidhani kama wote ni Watanzania kwamba watakuwa wamekuja kutembea tu, nahisi wengi ni wakenya wamenunua magari nakuja kuyatumia kwao, So Najua miongoni mwao hao watu mtakuwa humu, je mlifanyaje?

Wajuzi tuelimishane pls, natanguliza shukrani


View attachment 2195440
 
Back
Top Bottom