unajua that time uko hoooooooooooot wala no discussion ni kula kila kitu, baada ya malavida ukiambiwa kitu huwa tuna discuss kwanza haya ndio madhara
ila wakuu tukubaliane hizo chupi hata kama utavaa zisiwe Bikini au G-string, huwezi vaa hizi maana uume na korodani zitakaa wapi? fikiri halafu jengea picha kichwani itakuwaje.
Fua fua kaka , mbona ni jambo la kawaida kabisa, wa usihofu kuwa utaonekana bushoke, mapenzi ni ya wawili kaka,
Kaka cha muhimu mambo ya ndani ni kushirikiana nae tu vitu kama hivyo fua tu nani atajua? hiyo ya kuvaa unaweza chagua zinazo weza bikin muachie yeye
kweli, ukweli uko wazi mkuu, leo, leo jioni naanza mbele yake with great confidence, ila la kuvaa na kutinga kazini na chupi yake sasa hii si mapenzi
is like utumwa bana hapa bado sujapata ushawishi
Jamani wataalam wa mapenzi nisaidieni, mchumba wangu for the first time in our
relation kaniomba nimfulie chupi yake, mm najua yangu anafua ila mm kama mwanaume kufua chupi ya mwanmke naona aaaahhhh.... haipo sawa, nimemwambia ziweke hadi ziwe mbili/tatu hivi halafu nitafua na zangu nikijaribu kumchenga, tena he put a lot of emphasis kasema eti mapenzi ndio yananoga zaidi, sometimes nisimwambie akute nimefua tu kama surprise...!!! surprise ...!!!!??? haya mapenzi haya, plse help

mhh madogo lakini mazito,

ni kweli kabisaMie sioni tatizo na wala haikupunguzii uanaume wako. Si kitu cha ajabu ni moja ya vitu vya kuonyesha mapenzi yako kwake. Hongera kwa kumfulia chupi yake :thumb:
Mie sioni tatizo na wala haikupunguzii uanaume wako. Si kitu cha ajabu ni moja ya vitu vya kuonyesha mapenzi yako kwake. Hongera kwa kumfulia chupi yake :thumb:
mkuu nafurahi kukuona tena,ulipotea sana!
naomba nikufulie
ntajisikia furaha kweli