GF anataka NIMFULIE CHUPI yake, mmmmhhhh.....!!!!!!!!

Mwenzio nafua mwaka wa saba huu ndani ya NDOA wala hatubagui yeye akizikuta chafu anafua mie nikija nikizikuta chafu mzee najituma kama kawa, wala usikariri mapenzi au kanuni za mababu mfurahishe mwenziooo

Mkuu Chimunguru thanks, ila navaa gloves naanza sasa hivi, kumbe ni kawaida sana kufua chupi za mkeo/GF aisee, baadae nitatumia mikono bila
gloves, ila GF akiwepo nitajitahidi nisivae gloves bana
 
Mara kaibao Naibuka Kazini na Underwear ya My wife Wangu

Albedo ww ni mtundu kama u r avatar yaani leo nimecheka hadi machozi ww mtundu mkuu, ukiwa mtundu hivi wanawake wanapenda sana, ila la kuvaa chupi za wanawake hadi kazini hii kali, aiseeeeeeee
 
KInyaa wakati CHIMBO unaingia na unajilamba kabisaaaaaaaaaaaaaaa

unajua that time uko hoooooooooooot wala no discussion ni kula kila kitu, baada ya malavida ukiambiwa kitu huwa tuna discuss kwanza haya ndio madhara
 
Mkuu Chimunguru thanks, ila navaa gloves naanza sasa hivi, kumbe ni kawaida sana kufua chupi za mkeo/GF aisee, baadae nitatumia mikono bila
gloves, ila GF akiwepo nitajitahidi nisivae gloves bana

Kitandani hua unavaa gloves?Kinyaa cha nini wakati mwili unaovaa hizo pichu unaufurahia?Mfulie mwenzio acha ubinafsi...au zako nazo zifuliwe na gloves?tena zinachemshwa kabisa ndo zifuliwe!
 
Jamani wataalam wa mapenzi nisaidieni, mchumba wangu for the first time in our
relation kaniomba nimfulie chupi yake, mm najua yangu anafua ila mm kama mwanaume kufua chupi ya mwanmke naona aaaahhhh.... haipo sawa, nimemwambia ziweke hadi ziwe mbili/tatu hivi halafu nitafua na zangu nikijaribu kumchenga, tena he put a lot of emphasis kasema eti mapenzi ndio yananoga zaidi, sometimes nisimwambie akute nimefua tu kama surprise...!!! surprise ...!!!!??? haya mapenzi haya, plse help

Hivi ukishindwa simple task kama hii, utakiweza nini kwenye mapenzi ya kweli?
 
Ukifikiri kwa kina sana utagundua mapenzi ni uchafu. Na ukiendelea kuchimba zaidi unaweza ukaja kuathirika kihasi.....

Wewe piga moyo konde na mfulie mamaa chupi zake. Hautakufa ukizifua.....
 
unajua that time uko hoooooooooooot wala no discussion ni kula kila kitu, baada ya malavida ukiambiwa kitu huwa tuna discuss kwanza haya ndio madhara

Kawaida mkuu, Hivi Viumbe Mungu ametupa Tuvipende na kuvithamini, Kama unataka Kuishi navyo kwa Muda Mrefu suala la Kuvaa Chupi, Kufua Chupi, Kuosha Vyombo ni suala la Kawaida sana Mkuu
 
Kuvaa kabisa mbona mimi huzaa unasema tena kutest bro usicheze na mapenzi hizo ni kuvaa kabisa

Aiseeee nipo njia panda kuvaa chupi ya mwana mke wako? jamani jamani vp tena au mm nipo nyuma kimapenzi? sasa siku ukiwa unaenda kucheat
ukivaa itakuwaje? maana demu wa nje akikuona nayo atashangaa hadi mwisho? hivi ni mapenzi au sbb za kiuchumi?
 
Lakini Wameiba Kura nilikuwa sijasoma vizuri swali lako kumbe ni Gal friend sio mke wako?
 
Kawaida mkuu, Hivi Viumbe Mungu ametupa Tuvipende na kuvithamini, Kama unataka Kuishi navyo kwa Muda Mrefu suala la Kuvaa Chupi, Kufua Chupi, Kuosha Vyombo ni suala la Kawaida sana Mkuu

mm nafanya vyote kumsaidia, ila la kufua na kuvae chupi yake ilikuwa halipo kabisa mawazoni mwangu, au kuna mtu kamfundisha nini? au anamegwa nini? maana yupo hapa home na ni karibu na kwao hatokagi home, ngoja nichunguze, i have dought
 
Kumbe huwa unaenda kucheat tena ndio maana nimesema tulitakiwa kumshauri mtu aliye oa sio kushauri hizo take away zako
Aiseeee nipo njia panda kuvaa chupi ya mwana mke wako? jamani jamani vp tena au mm nipo nyuma kimapenzi? sasa siku ukiwa unaenda kucheat
ukivaa itakuwaje? maana demu wa nje akikuona nayo atashangaa hadi mwisho? hivi ni mapenzi au sbb za kiuchumi?
 
Aiseeee nipo njia panda kuvaa chupi ya mwana mke wako? jamani jamani vp tena au mm nipo nyuma kimapenzi? sasa siku ukiwa unaenda kucheat
ukivaa itakuwaje? maana demu wa nje akikuona nayo atashangaa hadi mwisho? hivi ni mapenzi au sbb za kiuchumi?

Duh Mkuu Unaonekana Bado sana umri wa Kuoa maana ni Ajabu mtu anayefikiria kuoa halafu vile vile anafikiria namna ya Kucheat! Duh haya bana
 
Lakini Wameiba Kura nilikuwa sijasoma vizuri swali lako kumbe ni Gal friend sio mke wako?

tumeshatambulishana she is Mchumba tayari after 7 months tutafunga pingu za maisha, analala na kupika kwangu sometimes, ni zaidi ya GF actually
 
mm nafanya vyote kumsaidia, ila la kufua na kuvae chupi yake ilikuwa halipo kabisa mawazoni mwangu, au kuna mtu kamfundisha nini? au anamegwa nini? maana yupo hapa home na ni karibu na kwao hatokagi home, ngoja nichunguze, i have dought

Siyo Lazima awe anamegwa Mkuu, anasikia kwa Marafiki zake sasa usipokubaliana na Hali Halisi basi Wafua Chupi watamega tu
 
Duh Mkuu Unaonekana Bado sana umri wa Kuoa maana ni Ajabu mtu anayefikiria kuoa halafu vile vile anafikiria namna ya Kucheat! Duh haya bana

nasemea tu mkuu mm sipendi kucheat, ila ukweli wako wengi ndani ya ndoa wanacheat sana, ww shahidi mkuu, ila leo umenifundisha kaaaaaahhh
 
Siyo Lazima awe anamegwa Mkuu, anasikia kwa Marafiki zake sasa usipokubaliana na Hali Halisi basi Wafua Chupi watamega tu

thanks, maana huwa ni mtoto wa huhakika, akikaa front seat ukiendesha gari uwe makini, unaweza kukata Left badala ya kulia kwa midadi, ni mwiraq mkuu sisi watu wa arusha bana, somali like, nywele, height we acha tu softyyyyy
 
Hongera Mkuu ila Lazima Uuthamini Uzuri wake ili Akulindie yaani awe wako siku zote, Usitoe Nafasi kwa Mabazazi Ohoooo
 
Back
Top Bottom