GF anataka NIMFULIE CHUPI yake, mmmmhhhh.....!!!!!!!!

Mshkaji wangu unaweza kufulishwa chupi na kulambishwa hadi visivyolambwa lakini bado hayo yote usishangae yasipomtosha! Siku atakapoamua vinginevyo atakuonesha mauzauza bila kujali ulifua naniliu na kudeki naniliu kwa ulimi!
 
Jamani wataalam wa mapenzi nisaidieni, mchumba wangu for the first time in our
relation kaniomba nimfulie chupi yake, mm najua yangu anafua ila mm kama mwanaume kufua chupi ya mwanmke naona aaaahhhh.... haipo sawa, nimemwambia ziweke hadi ziwe mbili/tatu hivi halafu nitafua na zangu nikijaribu kumchenga, tena he put a lot of emphasis kasema eti mapenzi ndio yananoga zaidi, sometimes nisimwambie akute nimefua tu kama surprise...!!! surprise ...!!!!??? haya mapenzi haya, plse help

Heeeh!! huyu mchumba wako ana jinsia mbili nini? Anaposema yananoga ana maana gani huyu? isije ikawa ni ushauri wa mganga wake wa mapenzi. Wengine nasikia wanaita LIMBWATA japo mimi silijui hilo.
 
Jamani wataalam wa mapenzi nisaidieni, mchumba wangu for the first time in our
relation kaniomba nimfulie chupi yake, mm najua yangu anafua ila mm kama mwanaume kufua chupi ya mwanmke naona aaaahhhh.... haipo sawa, nimemwambia ziweke hadi ziwe mbili/tatu hivi halafu nitafua na zangu nikijaribu kumchenga, tena he put a lot of emphasis kasema eti mapenzi ndio yananoga zaidi, sometimes nisimwambie akute nimefua tu kama surprise...!!! surprise ...!!!!??? haya mapenzi haya, plse help

manjonjo ktk mapenzi muhimu, ina raha yake tena ilibidi uichukue mwenyewe kabla hajakwamia kwani akivaa ulofua inaongeza mguso na hamu ya mavtu. Nanyi waume jifunze kuwa wabunifu kha! Fua tu ila isiwe mazoea bali suprise mara 1 moja
 
Mamushka nisamehe, mm najua kupika, kumshirikisha in my bussiness, kazi, on bed utakimbia nakwambia my GF huwa ananena lugha gani sijui, ila la kufua chupi silijui ndio najua sasa, vipi la kuvaa Mamushka? ila akiwa period wallaah sifui
Hahaaa hiyo kali, yani mpaka mtu ananena kwa lugha we hufaii uwi ipo siku atanena kwa lugha wee anamaliza kwa kuzimia ndo utakoma. Anhaa kama una
mshirikisha vitu vingine vya muhim hiyo imetulia, lakini uwe unamfulia bwana, tena hasa pale anapokua angani haaa haaaa ndo inanoga.
 
Jamani wataalam wa mapenzi nisaidieni, mchumba wangu for the first time in our
relation kaniomba nimfulie chupi yake, mm najua yangu anafua ila mm kama mwanaume kufua chupi ya mwanmke naona aaaahhhh.... haipo sawa, nimemwambia ziweke hadi ziwe mbili/tatu hivi halafu nitafua na zangu nikijaribu kumchenga, tena he put a lot of emphasis kasema eti mapenzi ndio yananoga zaidi, sometimes nisimwambie akute nimefua tu kama surprise...!!! surprise ...!!!!??? haya mapenzi haya, plse help
Kwanza it is strictly prohibited kuanza mapenzi kabla hamjaoana. Mkioana kufuliana sio tatizo hata kidogo kwani ni sehemu ya mapenzi tu, unaonaje kinyaa kinyaa kufua chupi!!!!! mbona mengine mengi yana kinyaa lakini unayafanya zaidi ya hiyo chupi????????????
 
Kama ni mkeo hakuna tatizo hapo maana ni wako, ila girl friend/boyfriend utafua ngapi, mwisho utanuka hizo kila siku, be careful
 
mfulie tu aisee... ni fleva zaidi na huwezi jua atajisikiaje, waweza pata the best christmas surprise ever

i would do that right away

Acid do you recommend me too to wash her underwear? bana hawa wanawake sometimes ukiwaendekeza watakuaibisha, i am so busy namfanyia vitu vingi even in my bussiness namhusisha sasa tumekomaa ktkt mapenzi yetu, ila sijui alitoa wapi hili wazo, hadi sasa nasubiri aseme kama mara 4 au 5 ndio nikae nae chini to discuss na si mgonjwa, au ananitega huyu?
 
manjonjo ktk mapenzi muhimu, ina raha yake tena ilibidi uichukue mwenyewe kabla hajakwamia kwani akivaa ulofua inaongeza mguso na hamu ya mavtu. Nanyi waume jifunze kuwa wabunifu kha! Fua tu ila isiwe mazoea bali suprise mara 1 moja

sasa kweli nipo njia panda, hapo kwenye red, nafikiria, labda that is possible, let my Medula Oblongata engaged deep here
 
Fanya kile kitu roho inapenda! hii ni kutegana zaidi na wala sio mapenzi!

Kimey u r right bana mapenzi mengine mitego isiyo na maana, that is what i know, kutega si mapenzi mazuri bana as long mko engaged, thanks
 
Back
Top Bottom