Get tugedha ilifana na ilikuwa bomba

Hahaha! Tulitaka kuingia hewani, binamu akatutahadharisha kuwa hubby wako ni mkurya. Ila salamu zako tulizipata. Thanks!


mie mwenyewe nilitaka kuingia hewani sema jana safaricom zilikuwa zinasumbua kuweka kwenye voda yaani nilitamani sana kuongea nanyi.....halafu utani wa ngumi huo.....lol
 
Duh aksante sijui Carmel na ZD waliingiaje kiwanja. Nimeipenda hiyo nahisi mie ningechemka maana ningeita tu Fidel mzee wa kujiexpress kwa nguvu (Sijui ningeweza na hizi aibu za kike!?)

Hahahahahaha walio tangulia wangekwambia njoo hukuuuuuuuuu maana nilichelewa kidogo mimi ukilivua pendo lako nalisubilia tu sijakata tamaa.
 
Hahahaha MJ1 na Nyamayao pamoja na F1 mlikosa uhondozi next time tunatafuta sehemu kwenye minyama nyama maana wengine tunapenda sana nyama kwa bia na Fanta ndo zenyewe.
kumbe kuna mtu anakandamiza nyuki ni wewe ZD ???
 
natamani vikao hivi vingenikuta wakati sijaoa!:D
ha haha haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa point noted, lkn hata ZD kaka yako ashawahi so hata kama ungekuwa hujaoa isingesaidia.
 
kwa mfano ningekuwa sijaoa!ningeongea vizuri na carmel anikabidhishe MDOGO WAKE!:D

ndo uzuri wa hivi vikao
 
Hahahahahaha walio tangulia wangekwambia njoo hukuuuuuuuuu maana nilichelewa kidogo mimi ukilivua pendo lako nalisubilia tu sijakata tamaa.
MJ1 huyu jamaa utamuweza na t..o? dont try it at home
 
MJ1 huyu jamaa utamuweza na t..o? dont try it at home

Hahahaha MJ1 najua kabisa huo mtandao kwako sio richabo.
Itifaki ikizingatiwa next time MJ1 nitaweka creti miguuni kwako uwe unajisevia Nyuki.
 
yani xpin na ujanja woote anakandamiza nyuki, huwezi amini.

Pale nilipojisahau nikachanganya na whysky ya YoYo kidogo nizimike. Hahaha! Fanta bana! Niko na ua la mchumbangu hapa ofisini naliangalia. Burudani ya aina yake.
 
habari ndio hiyo nyamayao. anaendoka serengeti pale ni ZD, na Nguli konyagi, mimi bingwa, Geof alikosa vita malta ikabidi apate bavaria, yoyo na fidel ndovu.

Ila ZD funika bovu, mtoto anamimina serengeti kama maji! Lakini ameniahidi ataacha ili arudi kundini.
 
Pale nilipojisahau nikachanganya na whysky ya YoYo kidogo nizimike. Hahaha! Fanta bana! Niko na ua la mchumbangu hapa ofisini naliangalia. Burudani ya aina yake.[/QUOTE]
hapo tu ndo ulipopiga bao la kisigino, if you know what i mean.
 
FL shemeji alibana nini hukuja sababu hazijitoshelezi ulizotoa, kama kweli unafanana na avatar kuna kila sababu ya WIVU kutanda tuko pamoja sista
 
halafu xpin sikuwahi kufikiri kwamba wewe ni kimmbau-mbau kiasi hicho!lol.watu wembamba lakini wewe ni zaidi ya founder:D
 
Back
Top Bottom