Get tugedha ya wapwa na mabinamu wa mahusiano.

Asprin

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
67,977
95,297
Yale mambo yetu yale. Yale ya Bwashee Geoff na dada yangu ambao wapwa na mabinamu wa JF tulifanikiwa kuweka mambo yao sawa. Nazungumzia kale ka get tugedha ka kuwapongeza. Jumapili ni kesho kutwa.

Nataka kujua nani na nani wanaahidi kuhudhuria bila kukosa ili mwenyekiti niendelee na maandalizi kabambe. Lokesheni nitawatumia kwa PM ili wale bestfriends zake mpwa nguli wasiharibu mazingira, si mnajua tena? (Yu knoo woram seing?) Mawazo ya nini nanini kiwepo yanapokelewa kwa mikono miwili.

Mpwa Masa najua yuko kwenye dozi, anaruhusiwa kutuma mwakilishi. Wapwa kazi kwenu kujivinjara na kupongezana. Kwenda off point ni strictly prohibited!

Naomba kutoa hoja.
 
mimi nitahudhuria shemeji!kwa niaba ya mtrajiwa wangu nasema ubarikiwe sana na tupo pamoja!
 
Nitafika wa kwanza kama tulivyofanya kwenye previous mtng.
 
Duu hamuwezi postpone till further notice ? hahahahahah Nguli una simu yangu wewe nibeep mimi nitaongea na wote hahahahah next time nitakuja na Mzeenj akiwa na Hijab na mimi kwenye kanzu ila tutakamua ulabu na kiti moto!
 
na kwakweli safari hii naomba tuiboreshe zaidi!eneo la tukio shemeji atatupi-emu!

naomba tuzingatie muda!:D(kwako shemeji krispini!)
 
Duu hamuwezi postpone till further notice ? hahahahahah Nguli una simu yangu wewe nibeep mimi nitaongea na wote hahahahah next time nitakuja na Mzeenj akiwa na Hijab na mimi kwenye kanzu ila tutakamua ulabu na kiti moto!
tuko pamoja mpiganaji!tutakubipu tu wewe utaruka hewani!furaha iliyoje unaongea laivu na SEMENYA:D
 
Hahaha Mpwa huna mwakilishi? Fidel atakuwakilisha bila wasi.
 
Yale mambo yetu yale. Yale ya Bwashee Geoff na dada yangu ambao wapwa na mabinamu wa JF tulifanikiwa kuweka mambo yao sawa. Nazungumzia kale ka get tugedha ka kuwapongeza. Jumapili ni kesho kutwa.

Nataka kujua nani na nani wanaahidi kuhudhuria bila kukosa ili mwenyekiti niendelee na maandalizi kabambe. Lokesheni nitawatumia kwa PM ili wale bestfriends zake mpwa nguli wasiharibu mazingira, si mnajua tena? (Yu knoo woram seing?) Mawazo ya nini nanini kiwepo yanapokelewa kwa mikono miwili.

Mpwa Masa najua yuko kwenye dozi, anaruhusiwa kutuma mwakilishi. Wapwa kazi kwenu kujivinjara na kupongezana. Kwenda off point ni strictly prohibited!

Naomba kutoa hoja.
Kwanza kabisa Masa hayuko kwenye dozi, bali kawekwa kinyumba zenj, au kwa lugha nyingine yuko asalimwezi anajiexpress.

Halafu binamu mimi ndani for the fest time.
 
Duu hamuwezi postpone till further notice ? hahahahahah Nguli una simu yangu wewe nibeep mimi nitaongea na wote hahahahah next time nitakuja na Mzeenj akiwa na Hijab na mimi kwenye kanzu ila tutakamua ulabu na kiti moto!

mpwa masa,
utajisikia amani kiasi gani kuongea laivu na mkuu carmel!hahahahah.hapo atakuwa keshalewa juisi yake ya pilipili:D
 
Krispin amepinda hata siku ya kufa atachelewa!

Hahaha! Siku ile ilikuwa jinsia moja, mi nikala kona kuwahi taarabu mitaa ya migomigo. Safari hii mchumbangu ameniahidi kuwepo, sina shaka.
 
Down to earth wazee hahahahahah cant wait....! Siku nikiwa na Mzeenj full heshima msiseme tiGo maana anaibu mbele za watu!
 
Kwanza kabisa Masa hayuko kwenye dozi, bali kawekwa kinyumba zenj, au kwa lugha nyingine yuko asalimwezi anajiexpress.

Halafu binamu mimi ndani for the fest time.

Hahaha! Naimagine utakavyoingia na bajaji! hehehe!
 
tuko pamoja mpiganaji!tutakubipu tu wewe utaruka hewani!furaha iliyoje unaongea laivu na SEMENYA:D
hahaaaaaa Ithought ulimpiga stop semenya, ole wako fidel asipotokea mi simo, utajashangaa anakung'ang'ania mbele ya wife. lol.
 
MASANILO unavaa msuli? kwani una ule ugonjwa unaowapata watu wa pwani, adui yake na honi ya gari?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom