Gesi ya kulipa mara moja unatumia milele

Mkuu si ujitoe mhanga ili uje utupe uzoefu?!! Nafikri itapendeza kama utakuwa wa kwanza ili tukufanyie mazoezi!!

hata hana haja ya kujitoa muhanga kuna hizo namab hapo juu piga mmoja utaulizwa unapo ishi kama karibu na hapo kuna mtu tumesha mfungia mtambo utaelekezwa kawake ili uka jione.na hatu kuzi mtambo kabla hauja ona ufanyaji kazi wake
 
Output ni kiloWatt ngapi?

mhm umeniuliza a technical question for what I know kwa mtambo wa gesi550 una pika kwa muda wa lisaa limmoja na nusu non stop kasha gesi ina anza kuzalishwa tena mtambo ukizoea unaweza pika hata masaa mawili non stop,kwa sasa kuna mitambo miwili mipya yenye uwezo mkubwa kuliko huu gesi550
 
Mtambo huu au gesii hii inauzwa laki 550
Laki 550.

Let's figure this out.

Shilingi Laki 1 = 100,000/=

Shilingi laki 550 = X

By Cross Multiplication, X = 550 x 100,000 divided by 1

X = 55,000,000

SHILINGI MILIONI 55!

Duuuu, hakuna maelewano mjomba?
 
Laki 550.

Let's figure this out.

Shilingi Laki 1 = 100,000/=

Shilingi laki 550 = X

By Cross Multiplication, X = 550 x 100,000 divided by 1

X = 55,000,000

SHILINGI MILIONI 55!

Duuuu, hakuna maelewano mjomba?

hahahha acha mambo yako wewe kama jinsi ulimi hauna mfupa basi na mkono hauna akili .hiyo ni laki tano na nusu =550,000Tsh
 
Nilitamani kujua kuhusu
1/Gas inayozalishwa inaweza kuhifadhiwa(kama kwenye mtungi) ili wakati wowote unapohitaji kutumia jiko uweze kutumia pasipo kuweka mabaki ya chakula tena kwenye tanki.

2/Kama gesi uliyozalisha ni nyingi kuliko uhitaji wako wa nishati kwa wakati huo, itakwenda wapi?(Itapotea hewani au itajihifadhi?)

kwa jinsi ilivyo tengenezwa ni lazima uweke mabaki kila siku tena mara mmoja tu kwa siku nzima. gesi huwezi kuifadhi kwa jinsi ilivyo tengenezwa huo mtambo .Gesi iki jaa kuna kitu kiko ndani kina itwa ballards ita kuwa ina achia gesi kidogo kidogo hewani na gesi hiyo haina harufu wala madhara ya kusema italipuka hapa ni gesi salama. gesi ina hifadhiwa humo humo ndani na inatengenezwa humo humo hvyo usipo tumia ina isha.ndo maana unaweka mabaki ili kuzalisha gesi tena
 
Technologia hii isiishie Dar tu, tunataka mje huku mikoani pia, kama Arusha, Manyara, Kilimanjaro nk.

kwa arusha ukipiga simu unaweza elekezwa maha;i mtambo uko kwa ajili ya kuona,tumehsa anza kutoka nje ya mkoa kama Tanga ,morogoro tuna kuja nadhani mwezi wa kwanza,Arusha,tuna kuja tunakuja msiogope
 
kwa arusha ukipiga simu unaweza elekezwa maha;i mtambo uko kwa ajili ya kuona,tumehsa anza kutoka nje ya mkoa kama Tanga ,morogoro tuna kuja nadhani mwezi wa kwanza,Arusha,tuna kuja tunakuja msiogope

Nadhani uhusiano wenu na wauzaji wa oryx na Mihan muda si mrefu utakuwa wa paka na panya. Hata hivyo, naomba unielekeze mahali panapopatikana mtu mwenye nayo niione kwanza ili oryx wasiendelee kula pesa yangu kila mwezi. Namba yangu iko ktk signature yangu.
 
Nadhani uhusiano wenu na wauzaji wa oryx na Mihan muda si mrefu utakuwa wa paka na panya. Hata hivyo, naomba unielekeze mahali panapopatikana mtu mwenye nayo niione kwanza ili oryx wasiendelee kula pesa yangu kila mwezi. Namba yangu iko ktk signature yangu.


Mkuu Aweda, na mimim nina wasiwasi huo, na hasa kama wataingilia mafisadi wanaweza kuipoteza kabisa tech hii ili wao waendelee kutunyonya walivyozoea.
 
Amazing.
Kama kweli ni TZ nimefurahi sana..
Jamani zungusheni fensi kabla hawa wataalum wengine hawajachukua hii na kusema ni yao.. "legal rights "
...

Wenye product ni SIMGAS NL wanafanya biashara na SIMGAS TZ (ambayo ni wabia)-Angalia website ya kampuni mama na kampuni dada.
Biogas technology haina mambo ya patenting. Kilinachoweza kuwa na patent ni "aina ya mtambo" ambapo mitambo iliyotajwa hapa inayo. Ni kama useme unataka kupatent kulima mchicha.
 
Back
Top Bottom