Gesi! Gesi! unalipia mara mmoja tu unatumia hadi kufa

networker

JF-Expert Member
Apr 23, 2011
570
215
barini ndugu zangu gesi550 ni jina la gesi ya biogas inayo tengenezwa na kuzwa kama gesi zingne tofauti ya gesi hii tuna kupa na mtambo wa kuendelea kuzallisha gesi hadi mwisho wa maisha yako.mtambo uko kama simtank ,ukisha nunua mafundi wanakuja kukusetia.pamoja na jiko la plate mmoja bure na warrant na matengenezo au service kwa miaka miwili.ukisha setiwa mtambo ili kuendelea kuzalisha gesi unatakiwa uweke mabaki ya chakula kama nyanya vitungu maganda ya viazi nk.kiasi cha nusu kilo ndani ya mtambo na maji ili kuzalisha gesi .gesi hii haina madhara kwa mazingira wala majanga ya kulipuka kama gesi zingine yanai hailipuki.mtambo hu ambao una shape ya simtank metengenezwa kitalamu gesi ikisha unaona na ikijaa unaona.pia mtambo unapo zalisha gesi inatoa mbolea ambayo hainuki kabisa kama unabustani au mazao unaweza kutumia kwa mbolea. Mtambo huu au gesii hii inauzwa laki 550 .unaweza lipa kwa instalment au cash au ukatumia bank kulipa kidogo kidogo chini ya uwangalizi wa bank husika.

Kwa maelezo zaidi au kununa piga 0767746427 au 0779747427 au 0658746427 .usi ni PM piga hizo namb
 
Sasa mkuu mbona husemi iyo gas ni kiasi gani na inatosha kupikia for how long!
Nilishawai tumia biogas ktk level ya shule na tulikuwa twatumia vinyesi vya ngombe!
 
bei, photos ....

pros and cons or the nitty gritty .... what are the cons or the gritty part of this product ..... !!!!!!!!!
 
laki 550 ndo shilling ngapi mkuu? tunaomba uwe wazi. je sisi tunaoishi nyumba za kupanga tutanufaika vipi? ofisi zenu zipo wapi? je walengwa ni watu gani?
 
laki 550 ndo shilling ngapi mkuu? tunaomba uwe wazi. je sisi tunaoishi nyumba za kupanga tutanufaika vipi? ofisi zenu zipo wapi? je walengwa ni watu gani?

kwanza hilo la laki550 alijibu ndio umuulize hayo maswali mengine..
 
Bio gas imezalishwa hapa TZ miaka mingi sasa.

Jaribu kuuza mwanga wa jua.
 
bei, photos ....

pros and cons or the nitty gritty .... what are the cons or the gritty part of this product ..... !!!!!!!!!

Hii kitu haina cons kwani kabla ya wenda pblic tumefanya research ya kutosha.serekali inatambua .ki ufupi its clean,safe and less expensive . Call our office for more info
 
bei, photos ....

pros and cons or the nitty gritty .... what are the cons or the gritty part of this product ..... !!!!!!!!!

Hii kitu haina cons kwani kabla ya wenda pblic tumefanya research ya kutosha.serekali inatambua .ki ufupi its clean,safe and less expensive . Call our office for more info kuhusu picha kuna link nime weka kwenye post kabla ya hii hapa utaona picha .na detail zaidi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom