Gesi Mtwara: Bibi wa Msimbati, nimeamini maneno yako

This is from a friend who works in the Oil and Gas sector in the Arab world:

Brother, kuchimba kisima cha Oil or Gas inahesabiwa in days min 15 days max 90 days inategemea na formation ya ardhi kule chini. Na kazi inakwenda sambamba na mabomba (Flowlines) zinazopeleka product to the Gathering Facilities for processing to be ready for delivery katika Main Pipeline inayopeleka Downstream for distribution to the end user, hata hivyo still huko mwisho kuna more facilities that are required like booster pumping stations for Oil and Pressure Reducing Terminals for gas.
Nafaham kwetu Tanzania visima vya gas zaidi ya 30 vishachimbwa tayari. Lakini gas haiwezi kuunganishwa kwa flowlines mpaka kufika katika Upstream Gathering Facilities and Processing Plants kam hizo hazijawa tayari kupokea gas. These very huge multiphase multistage facilities feed by wells from number of gathering satelite field stationsna kama hizonazo hazijawa tayari no way Kinyerezi or Ubungo can recieve LNG gas for powering the Turbine engjnes. So kwa case ya Mtwara na Kilwa haiwekani kama zimeshajengwa na ziko tayari. Na abadan huwezi kuunganisha kisima direct to the main line. Gas laizima iwe refregerated and pressure under control to become liquid ndio isafirishwe to any where for use in Tanzania. I guess TPDC and Tanesco hawasemi ukweli.
Nataraji umefaham. Namasteji
Sasa walivyokuwa wanasema gas imeishaunganishwa ya mg 350 , na kwamba kuna bar 52, wanachofanya ni kuongeza kila siku bar 1 ili kutoharibu system.Kwamba wakimaliza kuunganisha mitambo ya gas, matatizo ya umeme yatakuwa historia. Sasa leo wanavyokuja tena kutuambia mitambo ya gas ina mg 190 tu na sio 350, mara sijui mitambo ya maji haizalishi umeme kwa hiyo kuna shida. CCM wanatuona sisi ni machoko au? Na kama hawawezi kutupa umeme tunaolipia ghali kuliko wananchi wowote wa Africa mashariki, hiyo elimu na afya wanayosema watatoa bure wataweza wapi. Msitufanye wajinga!!!
 
Asante
 
Nina hasira nao hawa CCM asee

yaani mimi ndio zaidi kwani hasira nilizonazo nisipojizuia naweza fanya lolote kwenye siku ya kupiga kura kwenye picha ya magafuri!!! bora wangekuwa wanawatenganisha wagombea mi na mtaka lowasa wananipa karatasi yake. ila nitajizuia.
 
Weee Engineer sawa umeeleweka, hivyo hivyo ndivyo walivyofanya. Gas ilivyotoka ktk wellheads either offshores au Onshores, inaingia ktk inlet manifold kwa ajili kufanyiwa processing/yani dehydration then inaingia ktk separators(main separators) kwa ajili ya kutenganisha maji,gas na condensates. Then gas inaenda ktk section ya dew point separatirs kwa ajili ya kuondolewa unyevu uvyevu wote kwa kuiweka dose ya Monoethlyne kisha gas inapelekwa ktk section ya cold separator kwa ajili ya kupata negative temperature, kisha gas inaenda kuwekewa harufu ya Mercaptains then inakuwa tayari ipelekwe kwa mtumiaji
 
Hili la kukosa umeme linatutesa mno mno. Halafu tunadanganywa kama watoto wadogo. Ni kwa nini gas ya Mtwara izalishe mw 350 tu wakati mahitaji ya nchi yanafikia mw 1000 na wanajua mabwawa yatakauka? Tunaingia kwenye deni kubwa la gas na bado hatuna umeme wa kutosha. Mi machozi yananitoka nikiwaza haya. Kweli wametufanya malofa na wapumbavu.
 
Mgao utaisha tutakapo pata kiongozi mchapa kazi, naamini ni Magufuli pekee atatutoa kwenye mtihani huu

Shikamoo. Barabara ya mwendo kasi maeneo ya Ubungo usawa na makao makuu ya Tanesco imetitia sana, mwambie jembe akasawazishe ili mradi uweze kuanza
 
Kwakweli kuhusu umeme kuna maswali mengi sn zile mbwembwe zote za gesi mbona bado wanatudanganya??
 
Mkuu umeongea kitaalamu na umenipa mwanga kidogo. Tatizo Waziri wa Nishati na MADINI alituhakikishia Gas itaanza kutumika na September kutakuwa hakuna Tatizo. Vitu vya utaalamu tusichanganye na Siasi

If CCM could politicize your home you would have katibu bedroom or katibu jiko in your home.
 
Sasa walivyokuwa wanasema gas imeishaunganishwa ya mg 350 , na kwamba kuna bar 52, wanachofanya ni kuongeza kila siku bar 1 ili kutoharibu system.Kwamba wakimaliza kuunganisha mitambo ya gas, matatizo ya umeme yatakuwa historia. Sasa leo wanavyokuja tena kutuambia mitambo ya gas ina mg 190 tu na sio 350, mara sijui mitambo ya maji haizalishi umeme kwa hiyo kuna shida. CCM wanatuona sisi ni machoko au? Na kama hawawezi kutupa umeme tunaolipia ghali kuliko wananchi wowote wa Africa mashariki, hiyo elimu na afya wanayosema watatoa bure wataweza wapi. Msitufanye wajinga!!!

Just now go to Kinyerezi you will see tankers off loading fuel for the turbines just now there are more tanker trucks that are loading fuel at Kurasini heading for Kinyerezi an Ubungo plants that is your 190 mw comming from but not Gas from Mtwara
 
Back
Top Bottom