Gesi Mtwara: Bibi wa Msimbati, nimeamini maneno yako

Daaah changa la macho, na wakati wa kuhesabu kura si itakuwa giza nchi nzima? Nahivi tutakuwa 200m away!
 
Maskini ulikuwa unatutukana sana UKAWA.. Ya MUNGU mengi hatimaye umeuona ukweli.. Karibu kwenye mapigano ya kuipata Tanzania mpya

Yaani umeme kukosekana,napata taabu sana jamani Tanzania we do not deserve giza,yaani ngoja tubadilishe uongozi tuwape ukawa,na wao wakichemsha 2020 tunaweka uongozi mwingine
 
Yaani umeme kukosekana,napata taabu sana jamani Tanzania we do not deserve giza,yaani ngoja tubadilishe uongozi tuwape ukawa,na wao wakichemsha 2020 tunaweka uongozi mwingine

Hapo umenena.. Kura peleka Ukawa
 
Dawa ni kuiondoa ccm.hakuna njia nyingine ya kupata maendeleo ccm ikiwa madarakani.ondoa ccm ipigwe chini ccm.
 
This is from a friend who works in the Oil and Gas sector in the Arab world:

Brother, kuchimba kisima cha Oil or Gas inahesabiwa in days min 15 days max 90 days inategemea na formation ya ardhi kule chini. Na kazi inakwenda sambamba na mabomba (Flowlines) zinazopeleka product to the Gathering Facilities for processing to be ready for delivery katika Main Pipeline inayopeleka Downstream for distribution to the end user, hata hivyo still huko mwisho kuna more facilities that are required like booster pumping stations for Oil and Pressure Reducing Terminals for gas.
Nafaham kwetu Tanzania visima vya gas zaidi ya 30 vishachimbwa tayari. Lakini gas haiwezi kuunganishwa kwa flowlines mpaka kufika katika Upstream Gathering Facilities and Processing Plants kam hizo hazijawa tayari kupokea gas. These very huge multiphase multistage facilities feed by wells from number of gathering satelite field stationsna kama hizonazo hazijawa tayari no way Kinyerezi or Ubungo can recieve LNG gas for powering the Turbine engjnes. So kwa case ya Mtwara na Kilwa haiwekani kama zimeshajengwa na ziko tayari. Na abadan huwezi kuunganisha kisima direct to the main line. Gas laizima iwe refregerated and pressure under control to become liquid ndio isafirishwe to any where for use in Tanzania. I guess TPDC and Tanesco hawasemi ukweli.
Nataraji umefaham. Namasteji

Mkuu umeongea kitaalamu na umenipa mwanga kidogo. Tatizo Waziri wa Nishati na MADINI alituhakikishia Gas itaanza kutumika na September kutakuwa hakuna Tatizo. Vitu vya utaalamu tusichanganye na Siasi
 
Serikali ya CCM iendelee kuwadanganya watu wasiosoma na ambao hawana elimu pia na wazee wasio na fikla za mabadiliko wanaon'gan'gania chama cha CCM, ila kwa ufupi MTANZANIA serikali tuliyonayo ni serikali inayowafanya watanzania waonekane marofa na wapumbavu na ndio maana tuliambiwa hivyo kwa sababu hatutaki mabadiliko.
 
Bibi wa Msimbati alishasema gesi haitoki, CCM na Serikali yake wakaenda kupiga na kuua wananchi wa Mtwara wasio na hatia. Juzi kwa mbwembwe na madaha tumeambiwa mitambo ya kuzalisha Umeme wa gas umewashwa na mgao itakuwa ni jambo lililobaki Kwenye Vitabu Vya historia.

Wakati Simba Chawene alijinasibu kwa madaha mbele ya umma kuwa tatizo la umeme litakua historia, leo gazeti la Mwananchi limeandika Eng. Mramba wa TANESCO anasema mgao wa umeme haukwepeki kwani uzalishaj wa umeme umeshuka toka 561 megawatts mpaka 105 megawatts kutokana na ukame ulioikumba nchi...

Swali la kujiuliza; Gas iliwashwa au ilikua changa la macho?

Maneno ya Bibi wa Msimbati ndio ukweli mtupu, Gesi HAITOKI!

haya ndio madhara ya kudharau maneno ya wahenga. badala maCCM yaelewane na bibi wa gesi yamekazania kuwasha mabomba yasiyokuwa na gesi. ama kweli CCM ni janga la taifa.
 
Yaani umeme kukosekana,napata taabu sana jamani Tanzania we do not deserve giza,yaani ngoja tubadilishe uongozi tuwape ukawa,na wao wakichemsha 2020 tunaweka uongozi mwingine
Sawa sawa mkuu, hawa CCM madaraka yame walevya na sasa hawaogopi wala kujali chochote. Ni bora waka kaa pembeni ili ijulikane kuwa hakuna mwenye hati miliki ya hii nchi. Na UKAWA waki chemsha tunawapa ACT. CCM inahitaji mapumziko ya miaka kama 15 hivi.
 
Naona Bao la mkono wananchi wameamua kutengeneza wenyewe sasa.Tanesco ndiyo bao la mkono kutoka kwa wananchi.
 
Bibi wa Msimbati alishasema gesi haitoki, CCM na Serikali yake wakaenda kupiga na kuua wananchi wa Mtwara wasio na hatia. Juzi kwa mbwembwe na madaha tumeambiwa mitambo ya kuzalisha Umeme wa gas umewashwa na mgao itakuwa ni jambo lililobaki Kwenye Vitabu Vya historia.

Wakati Simba Chawene alijinasibu kwa madaha mbele ya umma kuwa tatizo la umeme litakua historia, leo gazeti la Mwananchi limeandika Eng. Mramba wa TANESCO anasema mgao wa umeme haukwepeki kwani uzalishaj wa umeme umeshuka toka 561 megawatts mpaka 105 megawatts kutokana na ukame ulioikumba nchi...

Swali la kujiuliza; Gas iliwashwa au ilikua changa la macho?

Maneno ya Bibi wa Msimbati ndio ukweli mtupu, Gesi HAITOKI!

Mtwara tuna letu jambo oct 25.
 
Manyoko wewe kuna MTU mchapakazi kwa mdomo kama Kikwete? Kama huyo kashindwa mwingine ndani ya ccm hayupo!!

Magufuli amesema Gas wamepewa wa China kwa miaka saba, tusiitegemee.
Simbachawene hajakanusha tamko hilo lililotolewa na mgombea wa CCM hivi karibuni, sasa sijui tuamini lipi kwa hawa viongozi wetu, ni majanga matupu. Ee mwenyezi mungu tuondolee hawa watu, inshaallah.
CCM ni uongo mbele kwa mbele, na ni ile ile.
 
Back
Top Bottom