Amini usi amini rafiki mkubwa wa zitto kabwe rais wa U germany aachia ngazi leo hii, huu ndio utakuwa mwisho wa Jeuri ya Zitto kabwe zidi ya chama chake na Jeuri ya chadema zidi ya CCM.................siasa raha utamu.
Hivi wewe umemaliza japo chekechea kweli?! Yaani kiongozi wa ujerumani na Chadema wapi na wapi? Tafuta kazi ya kufanya bwana.
Nani amekukamerun!? unaweweseeka!Amini usi amini rafiki mkubwa wa zitto kabwe rais wa U germany aachia ngazi leo hii, huu ndio utakuwa mwisho wa Jeuri ya Zitto kabwe zidi ya chama chake na Jeuri ya chadema zidi ya CCM.................siasa raha utamu.
Mkuu, hizo sehemu nyekundu, Tanzania mtu akuteuliwa kuwa mwanasheria mkuu, huyu baadae huwa ni mwanasheria mkuu binafsi wa raisi kwa hivyo kumtetea yeye na walio wake (jamaa, marafiki, mawaziri) na sio kufanyakazi kama mwanasheria mkuu wa serikali.jamaa wakati yupo waziri alikopeshwa na rafiki yake euro laki tano akajenga nyumba, kwa maana hiyo kaikosesha nchi mapato, na vilevile alikuwa anatoa tenda kwa baadhi ya makampuni kwa ujira wa rushwa ya kulipiwa safari na hotel akiwa mapumzikoni, wenzetu wanatawaliwa na sheria na binaadam wote ni sawa, mwanasheria wa serikali aliliomba bunge limuondolee kinga, embu fikiria hapa kwetu eti mwanasheria wa serikali aliombe bunge limuondolee rais kinga ya kutoshitakiwa, wakwetu wao wapo kwa ajili ya kumuongezea kinga, utawala wa sheria ni raha sana,maana kila kitu kiko wazi ukifanya hivi sheria inasema hivi, kwetu hawa viongozi wao ndiyo namba moja kuipinda hiyo sheria.
yah, ni uamuzi mzuri kuliko kuwapeleka wananchi ndivyo sivyo ili mradi tu kipindi chako kipite.
miafrica nayo ingeiga mfano huu especially JK.