Germany president resigns over finances scandals

eti huyu nae yupo ktk kamati yakutafuta vazi la claudz nah i mean la taifa,kuku wewe
 
Amini usi amini rafiki mkubwa wa zitto kabwe rais wa U germany aachia ngazi leo hii, huu ndio utakuwa mwisho wa Jeuri ya Zitto kabwe zidi ya chama chake na Jeuri ya chadema zidi ya CCM.................siasa raha utamu.

Mwanaasha at work!!!!!
 
Kubwa jingaaaa,, Yaani nimekuchukia number moja na kile ninachokunyaga asubuhi chooni number mbili na shetani ni wa tatu...Crazy
 
Mkuu wangu rais wa Ujerumani ana nguvu chache sana ktk mamlaka ya kuendesha nchi tofauti na sisi ambapo rais wetu JK ndiye kila kitu..Mfumo wao na nchi nyingi za Ulaya, Waziri mkuu ndiye mshika pini wa shoka, ambaye kwa Ujarumani wanamwita Chancellor - Mama Angela Merkel huyu ndiye anayeongoza nchi na chama cha mrengo wa kati kulia (CDU) ambacho kina mseto wa vyama vitatu ndio wapo madarakani. Ushirika wowote baina ya chama hicho na Chadema unatokana na kuafikiana ktk mrengo wa kiitikadi...
 
Wenzetu wanajua maana ya freedom of express na media zao hazibaniwi.....

Gazeti moja la udaku la ujerumanindio liliibua hii ihsu kama utani, jamaa Wulff akajidai kumtishia mhariri wa hilo gazeti la BILD ndo akaharibu kabisa manake skendo zake nyiingi zikaanza kutoka moja baada ya nyingine.

Ingekuwa bongo huyo mwandishi wa habari angenyamazishwa kama sio kuuwawa au gazeti hilo lingefungiwa maisha.

TZ we have a lesson to learn here.
 
Its a good decision coz i think it opens a room for more investigations and best judgement, unlike our 'wajivuaji magamba'
that's German
 
mbona wewe hukujitokeza??au harakti kwenye keyboard tu....??

Jameeyla usi "underestimate the power of the keyboard"! Hata hivyo mie binafsi nimefanya yafuatayo:
i. Nimeiaminisha nafsi yangu kuwa JK na wenzake ni "wasanii" + "mafisadi"
ii. Nimechukua uamuzi wa kutumia keyboard yangu kulisema hilo kwa jamii + ulimwengu
iii. Ktk familia yangu nitachochea mijadala ya kuwachokonoa hasira kwa "usanii" + "ufisadi"
iv. Ktk viwanja vyangu vya mapumziko jioni nitachochea mijadala ya kama namba iii. juu
v. Ktk sehemu ya kazi mazingira yatakaporuhusu nitapinga wazi wazi matendo ya "kisanii + kifisadi" nk

My take: Naamini kwamba watu wengi wakishajijengea + kujengewa hasira dhidi ya "usanii + ufisadi" hapo ndo cheche zinazowashwa na wanaharakati zitafanikisha kufawapa nidhamu wanasiasa wetu!
 
Back
Top Bottom