Germany president resigns over finances scandals

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,386
Christian Wulff expected to announce resignation
[h=1]German president to resign: Report[/h] Hürriyet
[h=2][/h]
n_13988_4.jpg

Wulff is set to make an announcement at 11 a.m. German time (noon Turkish time).

The president has been entangled in several scandals over the last few months and is set to become the first head of state in the federal republic's history to lose his immunity.

Wulff has been in his position for roughly two years and took over the president's seat from Horst Köhler, who had also resigned.

Wulff is known to be disliked by conservatives for stating that "Islam, too, is now part of Germany without a doubt."
 
Christian Wulff expected to announce resignation
German president to resign: Report

Hürriyet
n_13988_4.jpg

Wulff is set to make an announcement at 11 a.m. German time (noon Turkish time).

The president has been entangled in several scandals over the last few months and is set to become the first head of state in the federal republic's history to lose his immunity.

Wulff has been in his position for roughly two years and took over the president's seat from Horst Köhler, who had also resigned.

Wulff is known to be disliked by conservatives for stating that "Islam, too, is now part of Germany without a doubt."
...if that's the case,better if he resign
 
Wakwetu mpaka wapigwe mawe ndo wajue kuwa hawatakiwi au wanachofanya ni madudu.
 
..Hmm.. it should be clear that his resignation has nothing to do with his opinions on Islam in Germany but rather deals he had with his "friends".. ni fisadi na yeye!.. for us it means, he will not be touring Africa in March 2012 as a means cleaning up his image...
 
Hata tume ikiwaona wana hatia hawajiuzuru hawa ni kama kupe. viongozi wangapi wana kashifa lakini umeona nani ametoka?

Hilo nalo neno yaani wako kama kupe anayenyonya damu yuko tayari kufia kwenye host wake. Labda watolewe kwa Coup de'tat na kwa jinsi wanavyo-provoke nguvu ya umma yatawakuta one day.
 
Habari zilizorushwa punde na CNN ni kwamba President Wulff of German amerisign kwa corruption scandle. Prosecutors wanaangalia namna ya kuondoa immunity ili ashitakiwe.

Somo kwetu watanzani kuwa haya mambo yanawezekana!
 
Germany's President Christian Wulff resigns his largely ceremonial role amid a series of scandals.

Hapa kwetu kitu kama hiki ni adimu sana kutokea
 
Baada ya Rais wa Ujerumani kujiuzulu..SWALI LA MSINGI KWA WATANZANIA WOTE NA HUSUSANI WADAGANYIKA KKUMRADHI, NAMAANISHA WATANGANYIKA, KIKWETE ANAPASWA KUJIUZULU KWA KASHIFA GANI?
Tuweke kashifa au kama wanavyoziita wenyewe scandal ambazo mkuu huyu wa Tanzania anahusika nazo moja kwa moja, kisha mwenyewe apime na mwisho wa mwezi huu atakapo hutubia Taifa ama akanushe au achukue hatua.
 
huyo rais alikuwa na skendo kibao sana......kuna siku alkuwa anahojiwa kaitka kujibu akasema kuwa ''hata nikikohoa watu wanasema''
 
Habari zilizorushwa punde na CNN ni kwamba President Wulff of German amerisign kwa corruption scandle. Prosecutors wanaangalia namna ya kuondoa immunity ili ashitakiwe.

Somo kwetu watanzani kuwa haya mambo yanawezekana!

List ya wanaotakiwa kujiuzuru kwetu
1. JK
2. MP
3. Mponda

etc endeleza
 
jk ni msafi hana kashfa na kama zipo niza kawaida kwa viongozi wa Tz kwa yeye kubwa ni kushindwa kuunda timu yake ya kufanya nayo kazi pamoja na uongozi wake kuwa legelege pasipokuelewa msimamo wake
 
jamaa wakati yupo waziri alikopeshwa na rafiki yake euro laki tano akajenga nyumba, kwa maana hiyo kaikosesha nchi mapato, na vilevile alikuwa anatoa tenda kwa baadhi ya makampuni kwa ujira wa rushwa ya kulipiwa safari na hotel akiwa mapumzikoni, wenzetu wanatawaliwa na sheria na binaadam wote ni sawa, mwanasheria wa serikali aliliomba bunge limuondolee kinga, embu fikiria hapa kwetu eti mwanasheria wa serikali aliombe bunge limuondolee rais kinga ya kutoshitakiwa, wakwetu wao wapo kwa ajili ya kumuongezea kinga, utawala wa sheria ni raha sana,maana kila kitu kiko wazi ukifanya hivi sheria inasema hivi, kwetu hawa viongozi wao ndiyo namba moja kuipinda hiyo sheria.

He??kulikoni?
 
Baada ya Rais wa Ujerumani kujiuzulu..SWALI LA MSINGI KWA WATANZANIA WOTE NA HUSUSANI WADAGANYIKA KKUMRADHI, NAMAANISHA WATANGANYIKA, KIKWETE ANAPASWA KUJIUZULU KWA KASHIFA GANI?
Tuweke kashifa au kama wanavyoziita wenyewe scandal ambazo mkuu huyu wa Tanzania anahusika nazo moja kwa moja, kisha mwenyewe apime na mwisho wa mwezi huu atakapo hutubia Taifa ama akanushe au achukue hatua.

1. EPA
2. RICHMOND
Zingine ongezea
 
Germany's President Christian Wulff resigns his largely ceremonial role amid a series of scandals.

Hapa kwetu kitu kama hiki ni adimu sana kutokea

Bongo sio president tu, hata akina Luhanjao - si umeona sasa hivi anaitwa katibu mkuu kiongozi mstaafu,
Lowasa sasa hivi anaitwa - waziri mkuu mstaafu. hata wadogo zao akina Jairo, Chenge, Rostam. sanasana ikiwa hot wanakutorosha na kututangazia umekufa kama Balali.
 
Back
Top Bottom