GB whatsap ndo nataka kupigwa ban

Holly Star

JF-Expert Member
Aug 25, 2018
4,316
8,013
Wakuu kwema mm sio mambo mengi kwenye whatsap, naeza tuma sms kwa siku hata 10 hazifiki picha kwa siku naweza nisitume ama video ila hawa whatsap siwaelewi hii sms yao inamaana wwnataka kunipiga rula
Screenshot_2024_0317_183307.jpg
 
Last week nilipata hiyo notification ikabidi nirudi WhatsApp official kinyonge, maana natumia hizo mod toka 2017...

Upepo ukipoa nitarudi tu tena
 
Hamisha file zako kwenye gb wsp media fasta, yalishanikuta nikapiteza doc nyingi sana, switch to official wsp uhame na groups zako
 
Last week nilipata hiyo notification ikabidi nirudi WhatsApp official kinyonge, maana natumia hizo mod toka 2017...

Upepo ukipoa nitarudi tu tena
Ilikuwa hvyo pia kwangu ila hiyo ni issue ya kawaida coz sio official wtsp ila wamesha solve inapiga kazi kama kawaida. Japo hiyo warning ⚠️ inaweza kuja tena. Mm hiyo official wtsp siiwezi imepoa mno
 
Back
Top Bottom