Gazeti spoti starehe acheni uvivu!!

MTAZAMO

JF-Expert Member
Feb 8, 2011
19,643
33,427
Nimeshangazwa na gazeti hili leo kuna na habari waliyoipa uzito wa juu kabisa ya Milovan apata kikosi Simba lakini habari yenyewe fupi mno na waliyoandika ni maelezo ya kawaida na mahojiano kiduchu na Maestro! jirekebisheni!
 
huwezi kuipa uzito habari ambayo una taarifa kiduchu hivi! Walau mngekuwa mmefanya na utafiti mazoezini mngeleta analysis ya maana! Huu ni wizi kama magazeti ya udaku! main news alafu unapiga bla bla ya kuuzia gazeti!
 
Hawana jipya soma hata Sayari lina nafuu.
Yaani habari imekaa ki wizi kabisa! Habari imebeba gazeti alafu unaandika bla bla hakuna tafiti wala uchambuzi wa maono ya mwandishi baada ya kufuatilia habari.inaonesha hawataki kuingia gharama ya kumpa assignment ya kutosha aje na habari iliyoshiba hata hiyo habari itakuwa walikurupuka baada ya kukosa habari!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom