Wakenya si wanataka wao wawe juu siku zote tu.
Kiranga,kama umefuatilia hii michezo kupitia KBC utagundua kwamba hata Wakenya wanalalamika kwamba timu yao imefanya vibaya. Lakini tukubaliane na ukweli mmoja kwamba ktk hiyo sekta mpaka sasa wapo juu sana kulinganisha na ubabaishaji wetu.