Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,268
- 17,097
Mchoraji ni Mtanzania akiitwa GODFREY MWAMPEMBWA aka GADO
doing what we do best !!
kwanza hao wakenya wanaokimbia bila kufukuzwa walishaambiwa wanatumia steroids hawajajibu hoja hadi leo hii..
Jamani wangetuwekea hata mchezo wa Bao nafikiri wale wazee wetu wangerudi vifua mbele.Kwani hatuwezi hata kupiga blah blah hadi Olympic wakaamua kuweka mchezo wa blah blah kwenye orodha ya michezo yake? Na kama ikiwekwa, tutashinda?
Umenifurahisha sanaGado ni Mtanzania.
Mkuu Kiranga nadhani ukiangalia tena hii cartoon utaona kwamba jamaa hajakosea kitu na issue hapa sio kuonyesha nchi gani ina medali ngapi bali kuonyesha mtizamo wa nchi kutokana na kilichofanyika huko:-No doubt Tanzania tumecheza, but that's not the beef here.
Kusema kweli si kashfa.Kusema uongo ni kashfa.
Hiyo katuni imeonyesha Waganda hawana medali wakati wamechukua medali ya dhahabu.
Kashfa.
Mkuu upo?...mbona na wakenya amewaweka wakati wamechukua zaidi ya kumi...
Sio raiadha tu, kila aina ya mchezo ni blah,blah tu. Imepotea wapi ile bidii ya akina John Stephen, Bayi, Naftaeli, Titus Simba? Mpira ndio kabisaa!!!
Mkuu Kiranga nadhani ukiangalia tena hii cartoon utaona kwamba jamaa hajakosea kitu na issue hapa sio kuonyesha nchi gani ina medali ngapi bali kuonyesha mtizamo wa nchi kutokana na kilichofanyika huko:-
utaona kwamba according to the cartoonist hapo ameonyesha
Tanzania ni watu wa maneno tuu...., (hata ingekuwepo medali ya maneno wangepata)
Rwanda wamelala
Burundi they are invisible hata hawaonekani
Uganda (hapa ndio una issue napo) ni kwamba ingawa wamepata medali moja (kwao ni ushindi mkubwa sana ndio maana jamaa anapiga mluzi huku kabeba mabegi kwa furaha)
Kenya Ingawa kwa africa wamefanya vizuri kuliko wenzao lakini according to matarajio yao kwao wamefanya vibaya ndio maana wanasikitika>
Medali ya Uganda iko wapi?
Kubali tu wamekurupuka na kuchora katuni kabla michezo haijakamilika huku wakifikiri Uganda haina uwezo wa kupata medali.
Uganda proved them wrong.
The joke is on the cartoon now instead of being on Tanzania.
Mkuu Kiranga uzuri wa kazi nzuri ya kisanii inaweza ikawa na tafsiri nyingi...., Medali ya uganda ipo wapi naweza kusema ipo kwenye one of the bags...!!!, (Thats why jamaa anapiga mluzi kwa furaha na amefanya shopping kubwa, as its job well done) pia sababu sio kawaida yao kushinda medali atakuwa ameificha mbali isipotee !!!...Medali ya Uganda iko wapi?
Kubali tu wamekurupuka na kuchora katuni kabla michezo haijakamilika huku wakifikiri Uganda haina uwezo wa kupata medali.
Uganda proved them wrong.
The joke is on the cartoon now instead of being on Tanzania.
Inategemea na wewe ulipoweka mtazamo wako zaidi. Ni ajabu kuwa arguments zako zimejikita katika "makosa" kwa Uganda na si "Usahihi" kwa Tanzania. Nionavyo mimi kwa Watanzania, hoja za msingi zinaangukia katika "porojo" zetu kama ilivyooneshwa katika katuni kuliko kuendeleza "blah blah" kuhusu Waganda. Sitoshangaa mwisho wa siku tukaweka miguu juu tukiwa tumeridhika kabisa kuzima hoja za mchoraji Gado kupitia "makosa" juu ya Waganda. Blah blah zinaendelea!!! Blah Blah Blah Blah.... medali elfu tatu!!!!
Mkuu Kiranga uzuri wa kazi nzuri ya kisanii inaweza ikawa na tafsiri nyingi...., Medali ya uganda ipo wapi naweza kusema ipo kwenye one of the bags...!!!, (Thats why jamaa anapiga mluzi kwa furaha na amefanya shopping kubwa, as its job well done) pia sababu sio kawaida yao kushinda medali atakuwa ameificha mbali isipotee !!!...
Kwahiyo cartoon hii tafsiri ya kwamba Uganda ndio wenye furaha kuliko wenzao wote is plausible..., sababu they have not done it for so long...
Therefore naweza kusema cartoon hii imekamilika na ina-potray message ambayo ni kweli tupu.., na your argument kwamba picha inasema Uganda hawana medali sio kweli as medali inaweza ikawa kwenye one of the bags