.Angalau pale Karimjee ambako mazishi ya KITAIFA yalifanyika. Akakimbilia Morogoro kufungua jengo la CAG ambalo hata DC wa Morogoro angetosha kuifanya kazi hiyo
Washauri wake naona hawaangalie mbele.Jk alistahili kuwepo kwenye mazishi ya kitaifa.Zaidi ya yote Gazeti la Mwanachi hawakuwa na haki ya kusema Dr amkwepa Jk ukizingatia hakuna mwandishi aliyewahoji wawili hao.
Katika hali kama hiyo mtu yeyote anaweza kuja na mtazamo wake JK AMKWEPA DR SLAA au Dr SLAA AMKWEPA JK,sasa wao wametoa wapi uhalali wa kusema Dr Slaa ndiye ameamua kumkwepa Jk?
Nawapongeza kidogo gazeti la Tanzania Daima na heading yao(Dk Slaa,Kikwete wakwama kuteta)
Itakuwa siyo vibaya wala siyo mara yake ya kwanza kushirikiana na wakristu kiibada. Ni wewe tu Baru2 unayoona haiwezekani
Slaa hawezi muogopa JK kwa sababu JK aliiba kura za Dr Slaa na hivyo bado Dr Slaa ana hasira za kuibiwa ushindi.Ni kweli Slaa kaingia mitini. Anamuogopa jk.
Ulitaka ahudhurie misa kanisani?
Kama JK anavyojua kutofautisha vimada na mkewe.Na bado atakimbia sana babu mwaka huu,mpaka ajue kutofautisha mchumba na mke.ebo!