Gazeti la Mwananchi linaongopa kuhusu uwanja wa ndege wa Chato

Mpinzire

JF-Expert Member
Jan 18, 2013
7,224
12,946
Ni mara ha pili jana ndani ya mwaka huu gazeti la mwananchi linalefa habari ileile kuhusu uwanja wa ndege wa Chato kutokuwa na ndege hata moja inayotua!

Story ni ileile na wanakazia ata ukienda kufanya booking hukuti ndege!

Tangazo la ATCL siku 5 zilizopita hili hapa kutoka account yao ya twitter.
20230726_190238.png

Bado nikaamua niende kufanya booking nione, nikakuta kuna ndege ya kesho tarehe 27! Bado nawaza story ileile mara ya 2 inaibuka Mwananchi mdani ya mwaka mmoja! Mwananchi kulikoni?
Screenshot_2023-07-26-19-05-24-32_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg

Screenshot_2023-07-26-19-06-16-74_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
Screenshot_2023-07-26-23-53-24-33_8a6ce7ef6b1c5341b022b20d7fbb4b6e.jpg
 
Ni mara ha pili jana ndani ya mwaka huu gazeti la mwananchi linalefa habari ileile kuhusu uwanja wa ndege wa Chato kutokuwa na ndege hata moja inayotua!

Story ni ileile na wanakazia ata ukienda kufanya booking hukuti ndege!

Tangazo la ATCL siku 5 zilizopita hili hapa kutoka account yao ya twitter.
View attachment 2699906
Bado nikaamua niende kufanya booking nione, nikakuta kuna ndege ya kesho tarehe 27! Bado nawaza story ileile mara ya 2 inaibuka Mwananchi mdani ya mwaka mmoja! Mwananchi kulikoni?
View attachment 2699912
View attachment 2699915
Mleta mada nawe wale wale.
Wewe unakuja na screenshots za app ya kununua tiketi, wakati kiuhalisia huwezi kununua tiketi au kusafiri kwa sasa kwenda Chato kwa ATCL.

Sababu za msingi ziko wazi na very logical. Wahusika wamesema safari zimesitishwa maana hakuna wasafiri wa kutosha wa kwenda Chato, ATCL ambayo ndio kampuni pekee iliyokuwa inafanya safari zake Chato kwa sasa wana ndege chache zinazofanya kazi na uhuhitaji sehemu zingine zenye wasafiri ni mkubwa zaidi kuliko Chato.

Kipi cha ajabu?
Kipi kipya?
 
Wameandika ukutani : SUPU IPO lakini ukienda ndani hakuna kitu.
 
Ni mara ha pili jana ndani ya mwaka huu gazeti la mwananchi linalefa habari ileile kuhusu uwanja wa ndege wa Chato kutokuwa na ndege hata moja inayotua!

Story ni ileile na wanakazia ata ukienda kufanya booking hukuti ndege!

Tangazo la ATCL siku 5 zilizopita hili hapa kutoka account yao ya twitter.
View attachment 2699906
Bado nikaamua niende kufanya booking nione, nikakuta kuna ndege ya kesho tarehe 27! Bado nawaza story ileile mara ya 2 inaibuka Mwananchi mdani ya mwaka mmoja! Mwananchi kulikoni?
View attachment 2699912
View attachment 2699915
Hiyo safari baada ya ku book ulisafiri?
Au ndio wale wale abiria hewa wa kwenda Chato?
 
Ni mara ha pili jana ndani ya mwaka huu gazeti la mwananchi linalefa habari ileile kuhusu uwanja wa ndege wa Chato kutokuwa na ndege hata moja inayotua!

Story ni ileile na wanakazia ata ukienda kufanya booking hukuti ndege!

Tangazo la ATCL siku 5 zilizopita hili hapa kutoka account yao ya twitter.
View attachment 2699906
Bado nikaamua niende kufanya booking nione, nikakuta kuna ndege ya kesho tarehe 27! Bado nawaza story ileile mara ya 2 inaibuka Mwananchi mdani ya mwaka mmoja! Mwananchi kulikoni?
View attachment 2699912
View attachment 2699915
Wametumwa hao ndege ipo kila Alhamis na tunaipanda kila mara.
 
Hao mwananchi communication watajuana na walinda legacy huko acha wauane!!!
 
Wewe ndio zero kabisa ndege ipo kila Alhamis mwenzako ameleta ushahidi kutoka kwenye web ya ATCL wewe unaleta maneno matupu nilitegemea ungeleta taarifa ya ATCL inayosema wamesitisha safari za Chato au unafikiri lazima waandike Chato? Uwanja wa Chato unaitwa uwanja wa Geita mkuu.
Nimekujibu kwenye andiko langu.
Wewe unakuja na blah blah za app na mitandaoni lakini hataki kukubali uhalisia. Nimekwambia kwa sasa hakuna ndege ya abiria inayotua Chato kwa sababu abiria hakuna na ATCL hawana ndege za kutosha.

Kama huamini hayo fanya haya:
-Onyesha orodha ya ndege zilizotua Chato siku za karibuni.
-Fanya booking leo ili kesho usafiri kuja Chato kama unadhani hiyo route iko active.
 
Wametumwa hao ndege ipo kila Alhamis na tunaipanda kila mara.
Duh!
Yaani mnakuja hapa kifua mbele kabisa kusema ndege ipo once a week!
Gharama zote zilizotumika leo mnajisifu kwa kindege kimoja weekly.
 
Mleta mada nawe wale wale.
Wewe unakuja na screenshots za app ya kununua tiketi, wakati kiuhalisia huwezi kununua tiketi au kusafiri kwa sasa kwenda Chato kwa ATCL.

Sababu za msingi ziko wazi na very logical. Wahusika wamesema safari zimesitishwa maana hakuna wasafiri wa kutosha wa kwenda Chato, ATCL ambayo ndio kampuni pekee iliyokuwa inafanya safari zake Chato kwa sasa wana ndege chache zinazofanya kazi na uhuhitaji sehemu zingine zenye wasafiri ni mkubwa zaidi kuliko Chato.

Kipi cha ajabu?
Kipi kipya?
Wabongo bongo zenu zina wadudu. Unadhani hiyo screenshot Ka I construct .ukoenda mahakamani we ni kubishi tu Ka mruma maana hiyo ni evidence
 
Back
Top Bottom