Serikali kuboresha uwanja wa ndege Chato

Ngara to Shy

Member
Feb 14, 2021
34
53
Uwanja wa ndege Chato kuboreshwa.

Meneja wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) mkoa wa Geita, Japherson Nnko amesema, wanatarajia kuuboresha zaidi uwanja wa ndege wa Chato uliopo mkoani humo kwa kuuwekea uzio na kisha taa za kuongozea ndege.

Akizungumza na TBC mkoani Geita Nnko amesema, kibali cha kuuwekea taa za kuongozea ndege uwanja huo kimetolewa, lakini masharti ya Shirika la Kimataifa la Viwanja vya Ndege yanataka kabla ya kufunga taa kuwekwe uzio kuzunguka uwanja mzima.

Amesema maboresho kadhaa yanafanyika katika uwanja huo wa ndege wa Chato ili kukidhi vgezo vya kimataifa ikiwa ni pamoja na kujenga eneo maalum la kuegesha gari la zimamoto.

Meneja huyo wa TANROADS mkoa wa Geita ameongeza kuwa wataendelea na uboreshaji wa kiwanja hicho ili kuruhusu ndege zaidi kutua na kutoa huduma za usafiri wa anga kutokea katika uwanja huo.
 
Uwanja wa ndege Chato kuboreshwa

Meneja wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) mkoa wa Geita, Japherson Nnko amesema, wanatarajia kuuboresha zaidi uwanja wa ndege wa Chato uliopo mkoani humo kwa kuuwekea uzio na kisha taa za kuongozea ndege.
CHADEMA watanuna huko waliko
 
Tanroads wanahusikaje na viwanja vya ndege?
Uwanja wa huujui? Ni barabara kama zilivyo barabara zingine ila wenyewe ni barabara za ndege.Au neno uwanja wa ndege ndilo linakubabaisha?

TANROADS wanashughulika na barabara au hujui hilo?
 
Anayetakiwa kuusemea ni mamlaka ya viwanja vya ndege au mjenzi wa viwanja? Kuna mmiliki na mkandarasi.
 
Mamlaka ya viwanja vya ndege haihusiki na ujenzi inahusika na viwanja vilivyokwisja kamilika wao ni operators sio contractors
 
Uwanja wa ndege Chato kuboreshwa.

Meneja wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) mkoa wa Geita, Japherson Nnko amesema, wanatarajia kuuboresha zaidi uwanja wa ndege wa Chato uliopo mkoani humo kwa kuuwekea uzio na kisha taa za kuongozea ndege.

Akizungumza na TBC mkoani Geita Nnko amesema, kibali cha kuuwekea taa za kuongozea ndege uwanja huo kimetolewa, lakini masharti ya Shirika la Kimataifa la Viwanja vya Ndege yanataka kabla ya kufunga taa kuwekwe uzio kuzunguka uwanja mzima.

Amesema maboresho kadhaa yanafanyika katika uwanja huo wa ndege wa Chato ili kukidhi vgezo vya kimataifa ikiwa ni pamoja na kujenga eneo maalum la kuegesha gari la zimamoto.

Meneja huyo wa TANROADS mkoa wa Geita ameongeza kuwa wataendelea na uboreshaji wa kiwanja hicho ili kuruhusu ndege zaidi kutua na kutoa huduma za usafiri wa anga kutokea katika uwanja huo.

Huu uwanja kwani umeshatumika? Hiyo ni dili nyingine ya upigaji...Uwanja hata haujatumika tayari unapangiwa bajeti mpya ya kuuboresha? Ina maana mwanzo ulijengwa kwa kiwango gani?
 
Uwanja wa ndege Chato kuboreshwa.

Meneja wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) mkoa wa Geita, Japherson Nnko amesema, wanatarajia kuuboresha zaidi uwanja wa ndege wa Chato uliopo mkoani humo kwa kuuwekea uzio na kisha taa za kuongozea ndege.

Akizungumza na TBC mkoani Geita Nnko amesema, kibali cha kuuwekea taa za kuongozea ndege uwanja huo kimetolewa, lakini masharti ya Shirika la Kimataifa la Viwanja vya Ndege yanataka kabla ya kufunga taa kuwekwe uzio kuzunguka uwanja mzima.

Amesema maboresho kadhaa yanafanyika katika uwanja huo wa ndege wa Chato ili kukidhi vgezo vya kimataifa ikiwa ni pamoja na kujenga eneo maalum la kuegesha gari la zimamoto.

Meneja huyo wa TANROADS mkoa wa Geita ameongeza kuwa wataendelea na uboreshaji wa kiwanja hicho ili kuruhusu ndege zaidi kutua na kutoa huduma za usafiri wa anga kutokea katika uwanja huo.
Kwa hiyo kilijengwa mwanzoni wakitumia viwango gani? Kupata sifa tu kuwa kuna uwanja wa ndege, kumbe ulikuwa ni uwazi unaotumiwa sivyo ndivyo! Bora uwanja na si uwanja Bora, hulka ya Tz kila kitu kipo chini ya viwango. Unatengeneza makisio ya gharama (budget), kwanini hufanyi ili upate kitu kilicho kamili?
 
Uwanja wa ndege Chato kuboreshwa.

Meneja wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) mkoa wa Geita, Japherson Nnko amesema, wanatarajia kuuboresha zaidi uwanja wa ndege wa Chato uliopo mkoani humo kwa kuuwekea uzio na kisha taa za kuongozea ndege.

Akizungumza na TBC mkoani Geita Nnko amesema, kibali cha kuuwekea taa za kuongozea ndege uwanja huo kimetolewa, lakini masharti ya Shirika la Kimataifa la Viwanja vya Ndege yanataka kabla ya kufunga taa kuwekwe uzio kuzunguka uwanja mzima.

Amesema maboresho kadhaa yanafanyika katika uwanja huo wa ndege wa Chato ili kukidhi vgezo vya kimataifa ikiwa ni pamoja na kujenga eneo maalum la kuegesha gari la zimamoto.

Meneja huyo wa TANROADS mkoa wa Geita ameongeza kuwa wataendelea na uboreshaji wa kiwanja hicho ili kuruhusu ndege zaidi kutua na kutoa huduma za usafiri wa anga kutokea katika uwanja huo.
Kama jpm alishindwa kuujenga vizuri uwanja wa chato basi si rahisi ukajengwa vizuri na mtu mwingine.
 
Wapeleke maji sehemu zisizo na maji hizo mambo za Viwanja na ndege zenyewe kila kukicha zimekamatwa wangeachana nazo kwanza...
 
Uwanja wa ndege Chato kuboreshwa.

Meneja wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) mkoa wa Geita, Japherson Nnko amesema, wanatarajia kuuboresha zaidi uwanja wa ndege wa Chato uliopo mkoani humo kwa kuuwekea uzio na kisha taa za kuongozea ndege.

Akizungumza na TBC mkoani Geita Nnko amesema, kibali cha kuuwekea taa za kuongozea ndege uwanja huo kimetolewa, lakini masharti ya Shirika la Kimataifa la Viwanja vya Ndege yanataka kabla ya kufunga taa kuwekwe uzio kuzunguka uwanja mzima.

Amesema maboresho kadhaa yanafanyika katika uwanja huo wa ndege wa Chato ili kukidhi vgezo vya kimataifa ikiwa ni pamoja na kujenga eneo maalum la kuegesha gari la zimamoto.

Meneja huyo wa TANROADS mkoa wa Geita ameongeza kuwa wataendelea na uboreshaji wa kiwanja hicho ili kuruhusu ndege zaidi kutua na kutoa huduma za usafiri wa anga kutokea katika uwanja huo.
Ni Jambo jema
 
Ujuaji wa Magufuli bora uwanja huo ungejengwa geita mjini
 
Unaboreshwa ili ku achieve nini? Yaani yule chizi alikosea kujenga kwa udikteta wake na tulimuambia kuwa Chato haistahili uwanja wa kiwango kile. Sasa Mungu katusaidia kumtoa na nyinyi mliobaki mnataka KUBARIKI makosa yake?

Acheni tu wananchi wawe wanaanika mahindi
 
Back
Top Bottom