Gazeti la Mwananchi kupanda bei

Kwa tanzania yetu, wengine wapo njiani wanaskilizia. Imenibidi ninunue sasa kila baada ya siku mbili ili kukidhi bajeti yangu maana sikulitegemea hili.
 
Tangu zamani nimekuwa nikinunua Mwananchi la Jumamosi na Jumapili tu, kwa vile huwa yanakuwa na extra features, kuliko haya ya katikati ya wiki ambako kuna habari tu, ambazo zote nazipata mtandaoni.
Ila kwa bei mpya?
Itabidi tupige mbizi...
 
waandishe tu ila hakuna noma kwa kuwa internet ipo na JF imejaa tele.....habari tutazipata tu.
 
Wadau Ongezeko la 60% la bei ya Gazeti naona limeruka sana. Ni huu umeme au kuna mengine yanayoletezea upandaji huu wa bei??
 
usitie shaka mtandaoni lipo na mengineyo kibao
sasa tunatumia mtandao habari why worried mkuu au unayahitaji kuyafanyia nn ukishasoma?
 
Siamini kama shilingi ya Tanzania imeshuka thamani kiasi hicho.. Yani Gazeti sh. 800? Duh! Kweli serikali sikivu ya J.K Inachapakazi!
 
Siamini kama shilingi ya Tanzania imeshuka thamani kiasi hicho.. Yani Gazeti sh. 800? Duh! Kweli serikali sikivu ya J.K Inachapakazi!

Mkuu Nzenzu maisha yanapanda kwa ari mpya,nguvu mpya na kasi mpya,kupanda kwa umeme kumesababisha bidhaa kupanda,maji ya uhai lt 1 sa hv ni sh 600
 
Sidhani kama ni kwa sababu Tshs imeshuka dhamani. Sababu ya kupanda bei ni kuwa umeme umepanda sana bei kwa hiyo umeadhiri kila mwenye kufanya uzalishaji ili kufidia inabidi wapandishe bei.
 
Siamini kama shilingi ya Tanzania imeshuka thamani kiasi hicho.. Yani Gazeti sh. 800? Duh! Kweli serikali sikivu ya J.K Inachapakazi!

Haya .. tunahitaji ''masebu'' wa kuweka bei elekezi ya magazeti, nyanya, nguo, maji ya vidumu, mkate, nk.
 
More details, please!!

Binafsi nilikuwa natokam kusali hapo St. Peter's akaja mbele yangu muuza magazeti, nikachukua mwananchi la leo, kumpa buku kanirudishia mia 200, kweli Magazeti yamepanda bei.
 
mwnanchi kama jina lake linavojipambanua lilipashwa kuwa kazeti la wanmanchi linalouzwa kwa bei ya chini kwa ajili ya wananchi, lakin sasa linaejipambanua kama kaseti la wanganga njaa tu wanaochunmia 2mbo kuwaumiza waTZ wanaokula pepo kwenya maisha bora ya JK.

mwananchi jipangeni.

mmmme tia aibu.
 
wewe unaona halali ni kununua mchele 2600 kwa kilo???
tulichagua wenyewe rais handsome kwa hiyo tusilalame bei kupaa
 
Back
Top Bottom