Kashaijabutege
JF-Expert Member
- Oct 20, 2010
- 2,696
- 740
Safi sana gazeti la udaku na majungu na kufitinisha watu hata hivyo serikali imechelewa mno kulifungia.
Umetokea dampo gani?
Safi sana gazeti la udaku na majungu na kufitinisha watu hata hivyo serikali imechelewa mno kulifungia.
Kuanzia leo Julai 30, 2012; Gazeti la MwanaHalisi limefungiwa na serikali kwakuwa linadaiwa kuandika habari za uchochezi.
CHANZO: TBC1
Wajameni serikali hii inataka kutufunga mdomo tuendelee kuwa gizani tusijue madudu yao.
Pole sana KUBENEA tupo na wewe habari zako za kiuchunguzi zinatusaidia sana na ndizo zinazotufungua macho tujue nchi yetu inavyoliwa.
Can they do that? Wamechochea nini? Mbona sijaona vurugu zozote zilizosababishwa na gazeti?
Fungieni na gazeti la AR NUUR, nA Radio Imani kama sababu ni uchochezi
Limewaaibisha wazee....
Bora hata limefungiwa, linataka kulitumbukiza Taifa katika machafuko hili gazeti, mbona Magazeti mrngine hayafungiwi?
mwambie msigwa aulize swala la nyongeza