Gazeti la Mtanzania wasema Zitto ni mbunge wa CCM!

yapo madhara mengi ya kukimbia shule,sasa hapa naanza kuelewa na mapya kama yako! Ivi sentensi uliyosoma ya 'ameama'...je haina alama zozote za kuashiria mtazamo wa mtoa mada mfano !, au ? Au full stop? Unajua itabidi tuwe tunaweka na note: ya kusema ni kiswahili cha nchi gani kenya,kongo, somalia au rwanda au wapi. Ebu some tena uelewe.
itabidi = kwa mtu mmoja ... ungeweka itatubidi =kama ni wengi
 
Zito ni wa CHADEMA kwa ajili ya CHADEMA, ukimuona sehemu nyingine ujue anatafuta mambo yakusaidia kuokoa jahazi, nimjanja sana, wengine humdhania hivyo wakimuona katka harakati kama hizo, ukimuona yuko na watu wa ccm wala usihofu ila subiri uone baada ya hapo kombola atakalo toa, i trust a man. Umesikia walivyo muonea huruma mwl. CHADEMA Mbeya akasema amekimbilia ccm chama ambacho kaelekea kufa.
well said njomba !!!na huyu ndio zitto
Gazeti liko sahihi.zitto ni ccm indirectly!
pumba
siku si nyingi utasikia na dawa ya babu loliondo ilikuwa kwenye ilani yao CCM.
si ndio maana wanaenda sana kule , wanajenga bara bara badae wanajimilikisha
Ok mimi sisomagi Mtanzania kwa sababu ya fisadi RA mmiliki mpaka na wahariri na waandishi, litajifia lenyewekwa uwongo wake,Kwanini wasiandike Rostam alivyotaka kunyang'anywa uraia.
Kwa Zitto sijui ? ni lazima awadai wasipofuta neno hilo
jamani gazeti lilikuwa haliuzi jamani, hizi nakala atakuwa ameuza uza sana tu
Gazeti husika limeomba radhi leo,na kudai ni makosa ya kiufundi na uchapishaji
kama wameomba radhi basi hakuna hata haja ya zitto kuwashitaki,,waache wapige lapa na safari zao
wanataka kuuza gazeti tu, hao.
na wameuza sana tu
 
huu ni uhuni wa ccm a.k.a Mvua Gamba , iki kijigazeti cha Rostam kimejisahau kinazani ni wa CCM kumbe CDM, hata hivyo kwa kuwa bosi wao tunamvua URAIA na GAMBA la mamba mla watu na Kumrudisha IRAN kwao Kigazeti hiki KItafilisika naKufa kabisa
 
Back
Top Bottom