Gazeti la 'HabariLeo' na taarifa ya kifo cha Mh. Mtema

busar

JF-Expert Member
Dec 22, 2011
1,068
1,061
Nimepitia taarifa za kidogo cha mh. Mbunge Mtema, katika gazeti la habari leo si taarifa iliyopewa kipaumbele jambo ambalo nadhani si Sawa na hasa nikilinganisha na taarifa iliyopewa kipaumbele, taarifa ambayo haikuwa na uharaka wowote Kwani
1. Ni habari ya kawaida pamoja na yaliyoandikwa kuipa uzito. hapa nawakumbuka wastaafu wote hata walio vijijini.
2. Ni ya uchunguzi, so ingeelea kutafitiwa japo kwa leo, na ikaambatanishiwa na nyaraka kadhaa za utumishi wa umma zinazopelekea hali ngumu ya maisha kwa watumishi wasifanya ufisadi.
Kwa maoni yangu nashauri
1. Habari leo wajisahishe katika hili Kwani pamoja na mwelekeo wao kisiasi wakumbuke like ni gazeti la umma wa tz, linaendeshwa kwa kodi zetu, Kwani hata wasipouza litaendelea kuchapwa tu.
2. R. Mtema, marehemu sasa, Alikuwa mtanzania, Lakini mbunge wa JMT, hivyo ni msiba kitaifa, ni uungwana tukalia wote,
3. Ajali ile imechukua maisha ya watz wengine, Kama mlivyowahi jurist kipaumbele katika taarifa nyingine za aina hii, basi mngefanya vivyohivyo
4. Kofi zetu zinauma pamoja na madhira mnayotutendea nyie mlokabidhiwa dhamana ya utumishi wa umma.
Inasikitisha, mnaimba uzalendo, kuipenda nchi, kuwa wamoja ilihali ninyi mmejitenga na jamii ya watz. Naomba kwa hili tuwakumbushe Habari leo kwamba wamechemka.
 
Sishangai kwa habari leo kufanya hivyo. Kwakuwa siku zote limejipambanua kwetu kama gazet la ccm na si gazeti la umma.
 
wataandika sana ikibid kila siku wakiisha tengeneza mgogoro kama ilivokuwa kwa chacha wangwe. maana mharir mkuu ndiye kamanda wa kutumia misiba kwa faida za kisiasa. tunamkumbuka vema alivokuwa majira alipotumia chombo hicho kutaka kuuaminisha umma kuwa wangwe aliuawa na chadema. lkn njia ya mnafik ni fupi
 
Bora habari leo! Channel ten ndio hawana mpango kabisa na hii habari ya kifo cha dada yetu! Wao wanonyesha habari nyingine kabisa! Kuna shida kubwa sana kwenye hivi vyombo vyetu vya habari!
 
Kifa cha mbunge ni muhmu lkn c kwamba kuna taarifa zisid habar ya kifa,au kwa vile ni wa cdm,mbona weng washakufa lkn ha2kuona unalalama,hata 2tangazaje kashakufa
 
Kifa cha mbunge ni muhmu lkn c kwamba kuna taarifa zisid habar ya kifa,au kwa vile ni wa cdm,mbona weng washakufa lkn ha2kuona unalalama,hata 2tangazaje kashakufa

hatujalalama kwa wengine hasa wa ccm kwa sababu habari zao zilikuwa ukurasa we mbele
 
Wajameni huu ndio uhuru wenyewe wa habari ambao hiki ni kipengele kinachoitwa "Editorial Independence"!. Hii inahusisha uhuru wa wahariri kujiamulia ipi ndio iwe habari muhimu kwao!.

Nimeangalia mapitio ya magazeti yote yameiweka habari ya kifo cha Regia kwenye front page zake. Mengi ya magazeti hayo yameipa uzito wa juu, mengine uzito wa kati na machache yameipa uzito mdogo likiwemo Daily News na Habari Leo kwao msiba huu is not big deal!.

Hili halishangazi, gezeti hili halina mhariri mkuu kwa zaidi ya miaka 3 sasa huku anaekaimu ni full kujipendekeza kwa serikali akijiaminisha ataukwaa huo uhariri mkuu!. Kukaimu mwisho ni miezi 9 tuu ikipita hujateuliwa, inamaana hufai!. Sasa unapokaimu kwa miaka 3 na kujipendekeza kote bila kuteuliwa, then kujikombaring haisaidii katika uteuzi.

Nashauri it's high time magazeti haya ya serikali ya Daily News na Habari leo yapatiwe competent chief editor!.
 
Kuweni wavumilivu CDM, hapo ndio mujue kudharauliwa kunauma! Mbona nyinyi ndio muko mstari wa mbele kukejeli na kudharau wenzenu? Hebu onjeni dawa yenu wenyewe!!!
 
Wajameni huu ndio uhuru wenyewe wa habari ambao hiki ni kipengele kinachoitwa "Editorial Independence"!. Hii inahusisha uhuru wa wahariri kujiamulia ipi ndio iwe habari muhimu kwao!.

Nimeangalia mapitio ya magazeti yote yameiweka habari ya kifo cha Regia kwenye front page zake. Mengi ya magazeti hayo yameipa uzito wa juu, mengine uzito wa kati na machache yameipa uzito mdogo likiwemo Daily News na Habari Leo kwao msiba huu is not big deal!.

Hili halishangazi, gezeti hili halina mhariri mkuu kwa zaidi ya miaka 3 sasa huku anaekaimu ni full kujipendekeza kwa serikali akijiaminisha ataukwaa huo uhariri mkuu!. Kukaimu mwisho ni miezi 9 tuu ikipita hujateuliwa, inamaana hufai!. Sasa unapokaimu kwa miaka 3 na kujipendekeza kote bila kuteuliwa, then kujikombaring haisaidii katika uteuzi.

Nashauri it's high time magazeti haya ya serikali ya Daily News na Habari leo yapatiwe competent chief editor!.

Pasco,
Good observation. Thanks.
 
Wakuu mimi naona hakuna haja ya kulalamikia magazeti hata hilo habarileo waacheni wafanye wanavyotaka. Regia amepata heshima kubwa sana ya kuenziwa na JF ambacho ni chombo chetu basi inatosha. Tuendelee kumuenzi humu JF wengine tuachane nao.
 
hivi hili gazeti lipo niliachana nalo muda mrefu saaaaaaaaaana Sababu kama hizihizi harari muhimu hawaandiki
 
Bora habari leo! Channel ten ndio hawana mpango kabisa na hii habari ya kifo cha dada yetu! Wao wanonyesha habari nyingine kabisa! Kuna shida kubwa sana kwenye hivi vyombo vyetu vya habari!

ni kweli,chanel ten ni kama ishu iliyotokea siku tatu,nne hivi zilizopita
 
Back
Top Bottom