Haya hii ndio kufuru ya kushiba au ndio fashion ? Lady Gaga mwanamuziki wa huko uliko ungua mpini kukabaki shoka akiwa na gauni lilotengenezwa kwa nyama katika hafla ya MTV Video Music awards huko LA. Kazi kweni akina dada fashion hiyooo...
Soon tutaona dada zetu na magauni ya ze kitimotos
Damn! Watoto wanakufa na njaa ethopia, south sudan, yeye anafanya kufuru ya kuvaa nyama!!
View attachment 13694
View attachment 13691
Haya hii ndio kufuru ya kushiba au ndio fashion ? Lady Gaga mwanamuziki wa huko uliko ungua mpini kukabaki shoka akiwa na gauni lilotengenezwa kwa nyama katika hafla ya MTV Video Music awards huko LA. Kazi kweni akina dada fashion hiyooo...
unafikiri ulaya kuna manzi wengi kama hapo kwenu magomeni...tehtehe..manzi ukumbini yaende kutafuta nini? izo nyama atakuwa amezipiga pafumu hata hazinuki...Nadhani hayo ni maplastiki tuu...ingekuwa nyama angejaa mainzi tayari