Gauni la nyama (Lady Gaga)

De Javu

JF-Expert Member
May 5, 2010
264
33
2vwbpqx.jpg

raq345.jpg

Haya hii ndio kufuru ya kushiba au ndio fashion ? Lady Gaga mwanamuziki wa huko uliko ungua mpini kukabaki shoka akiwa na gauni lilotengenezwa kwa nyama katika hafla ya MTV Video Music awards huko LA. Kazi kweni akina dada fashion hiyooo...
 
Damn! Watoto wanakufa na njaa ethopia, south sudan, yeye anafanya kufuru ya kuvaa nyama!!

hufzhu.jpg
 
Haya hii ndio kufuru ya kushiba au ndio fashion ? Lady Gaga mwanamuziki wa huko uliko ungua mpini kukabaki shoka akiwa na gauni lilotengenezwa kwa nyama katika hafla ya MTV Video Music awards huko LA. Kazi kweni akina dada fashion hiyooo...

Soon tutaona dada zetu na magauni ya ze kitimotos
 
Duuuh

Sasa huyu GAGA mwisho wa maneno Khaaaaa, hapo Madona hafikiii tena
 
sipati picha alivyokuwa ananuka!uchizi tu unamsumbua!
hiyo bongo hatuwezi kuiga na hawa inzi wetu si wataonekana wao badala ya hio nyama!
 
hii ni pale uwezo wa kudizaini unakufanya kuwa mpuuzi na unayefaa kupuuzwa

extremists sio kwenye dini tu, this lady has gone too far
 
Wazee, hiyo ni nyama nyama hihi nyama kama nayokula mimiii, au SYNTHETIC NYAMA? Kama ni nyama halisi basi nimemkubali huyu dogo, walah kuna siku atavaa gauni la mavwi!
 
Huyu bi mdogo sasa anapitiliza, ni nyama ile ile tunayoijua au hii mwenzetu ya kwake special? Ina kidude cha kunyonya damu isichuruzike chini? Uchizi wake unapitiliza sasa, nafikiri pia labda haelewi zoezi la kulala bila kula vinginevyo huu upuuzi asingeufanya....
 
Jamani kweli hii ni kufuru, ni nini hiki tena!
i'm sure dada zetu muda si mrefu wataanza kuiga na kuvaa hivi, tena kwa kuwa kilo ya nyama ni bei, naona wataanza na japo kofia hiyo!!
 
Huyu mwanamke belongs to masonic order, hufanya anachoambiwa na wakuu wa free mansons. Wala sishangai. Swali ni kuwa hiyo ni nyama ya mnyama gani.
 
huyu mwanamke ni Yezebel, ni mmoja wa maajenti wa shetani toka kuzimu kabisa. wengi wa wanaoangalia au kuhudhuria matamasha yake, kuangalia nyimbo zake, huwa wanaingiliwa na mapepo ya ajabu ambayo kutoka si rahisi. watu hawa wanaoabudu dini ya shetani, wamemaliza wengi. kama haujui jini, angalia jinsi anavyotembea, jinsi alivyo na mwenendo wa kingonongono, mwenendo wa kishetani, yaani ni pepo kabisa, shetani kavaa mwili wake na atamaliza roho nyingi za watu. poleni wafuasi wake!
 
View attachment 13691
Haya hii ndio kufuru ya kushiba au ndio fashion ? Lady Gaga mwanamuziki wa huko uliko ungua mpini kukabaki shoka akiwa na gauni lilotengenezwa kwa nyama katika hafla ya MTV Video Music awards huko LA. Kazi kweni akina dada fashion hiyooo...

Nadhani hayo ni maplastiki tuu...ingekuwa nyama angejaa mainzi tayari
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom