Wana bandari yao mkuu, hujawahi sikia bandari ya mtwara?Kwahiyo wana mtwara msituletee ukabila na ukanda . je na dar nao wakisema bandari ni ya dar itakuwaje. kama hujaridhika ruksa kuhamia mkoa wowote uupendao
Kwahiyo wana mtwara msituletee ukabila na ukanda . je na dar nao wakisema bandari ni ya dar itakuwaje. kama hujaridhika ruksa kuhamia mkoa wowote uupendao
Kwahiyo wana mtwara msituletee ukabila na ukanda . je na dar nao wakisema bandari ni ya dar itakuwaje. kama hujaridhika ruksa kuhamia mkoa wowote uupendao
Hivi Wana Mtwara mnadanganywa na nani.Kwani hiyo gesi ikija dar mnafikiri haitawafaidisha?Mbona kuna watu wa Mtwara wengi tu hapa mjini.Acheni kudanganywa na wanasiasa uchwara
Wanamtwara wanatambua hilo na ndiyo maana walikubali yafuatayo:
Kuichagua ccm miaka yote pamoja na kung'olewa reli huko, kuhamishwa baadhi ya miundombinu kupelekwa maeneo mengine ya tanzania.
Mikoa ya kusini kuwahifadhi wapigania uhuru wa nchi za kusini mwa afrika na kuzua wasiwasi kwa serikari ya wakati ule kuwekeza mikoa hiyo.
Bandari yenye kina cha asili kudharauliwa.
Wakati umefika rasimali za nchi zinufaishe wananchi wote na si waliopo dar. Tu, ndiyo maana jiji hilo kutokana uhamiaji wa wananchi kutoka mikoani kuendelea kwa kasi kubwa serikali imeshindwa kuwa na miundombinu kukabili hali hiyo. Wakati umefika viwanda vingi vijengwe mikoani waliko watanzania wengi. Haiwezekani watanzania wote tujekuishi dar.
Kwahiyo wana mtwara msituletee ukabila na ukanda . je na dar nao wakisema bandari ni ya dar itakuwaje. kama hujaridhika ruksa kuhamia mkoa wowote uupendao