Kwanini Bandari ya Bagamoyo au Dar es Salaam na si ya Mtwara na Kilwa Masoko?

August

JF-Expert Member
Jun 18, 2007
8,407
4,076
Nimemsikiliza Mzee Samson Luhigo ambaye aliwahi kuwa Mkurugenzi Mkuu wa THA wakati huo, na amezungumzia Bandari kuwa ni mgodi Makubwa na nafasi iliyokuwa nayo Tz, na kuongelea uzuri wa Bandari ya Mtwara dhidi ya hizi Bandari zingine, za Bagamoyo, na Dar es Salaam, hivyo uwezo wa Bandari ya Mtwara ikiendelezwa itakuwa Bora zaidi na nafuu kuliko hizo zingine. Cha kufanya ni kuongeza hizi reli zifike Mtwara.

Jingine ni umuhimu wa TAZARA, na matatizo ya TAZARA kutokana na kuwepo na Upinzani wa Zambian Railways, hivyo IPO haja Kwa TAZARA kuvunjwa na kila nchi imiliki sehemu iliyo kwake.

Na siku anaongea bahati mbaya muda uliisha hivyo ni vizuri akapewa nafasi siku nyingine. Na Tume ya Mipango ndio iwe inatumika katika kupanga Mipango ya kimaendeleo badala ya Wana siasa. Na hizo video za kuhusu Bandari na masuala menginevingekiwa vizuri tuwe tuna ziweka hapa kwenye jamii forums n.k
 
Back
Top Bottom