Nina ndugu yangu ambaye ameuza gari yake aina ya Mitshubishi Pajero io, ni mkazi wa Dar na anafanya kazi Ilala (karibu na uwanja wa karume) kwa maelezo yake anasema itachukua muda kidogo ili kuweza kununua (ku-replace) gari yake nyingine. Anachohitaji kama kuna mtu ambaye anaweza kumkodisha gari (kama vile madereva wa taxi wanavyofanya) kwa malipo ya kila wiki. Bei maelewano lakini bei za soko zinaeleweka. Ila yeye hatafanya kama taxi, yeye ni gari ya kuendea kazini na kurudi nyumbani tu. Atafanya hivyo mpaka hapo atakapo nunua tena gari nyingine.
Kama ni wewe au kuna mtu au kampuni inafanya utaratibu huo anaomba uwasiliane naye kupitia simu zifuatazo 0715266454 au 0757116618.
Nawakilisha - mjumbe hauwawi.
Kama ni wewe au kuna mtu au kampuni inafanya utaratibu huo anaomba uwasiliane naye kupitia simu zifuatazo 0715266454 au 0757116618.
Nawakilisha - mjumbe hauwawi.