Gari inawaka moto

spika hii lori nimeiona sasa hv natokea Iringa. Kuna trafic kama wanne wanaangalia na hamna juhudi zozote za kuzima. Moto unaunguza mzigo ulioko nyuma na unakaribia cabin huku trafic wakiendelea na stori.
Yes u do!
Moto ulikua ukianzia nyuma kwenye mzigo,but jana nimepita nimekuta jivu tuu!
 
Back
Top Bottom