Mwenye taarifa yoyote ya ajali ya gari maeneo ya Iringa, awasilishe

Wakuu poleni na majukumu, Kuna ajali ya gari ndogo nasikia imetokea maeneo ya Iringa, mwenye taarifa kamili atujuze.

Dah, nimepata taarifa juu juu, Kuna ndugu yangu amesafiri, simpati kwenye simu
Tuliza jazba! Ameanzia safari wapi? Kaondoka na Usafiri gani? Kaondoka saa ngapi?
Kumbuka,sio maeneo yote kuna mtandao.
 
Back
Top Bottom