Gari inauzwa 6.5m

Kifarutz

JF-Expert Member
Aug 7, 2012
1,736
359
Ni GX100, mark II grande, ipo in good driving condition
 
Attachments

  • DSC00364.JPG
    DSC00364.JPG
    1.5 MB · Views: 237
Ya mwaka gani,Engine size,imetumika miaka mingapi TZ,kama ina ugonjwa wowote ambao unahitaji matengenezo na vilevile kama uataweza kupiga picha za ndani itakuwa nzuri zaidi ili kuitathmini kwa jumla.
 
  • Thanks
Reactions: MTK
Ya mwaka gani,Engine size,imetumika miaka mingapi TZ,kama ina ugonjwa wowote ambao unahitaji matengenezo na vilevile kama uataweza kupiga picha za ndani itakuwa nzuri zaidi ili kuitathmini kwa jumla.

GX 100 nyingi cc 2000, ni kimeo unless upate engine 1G kavu
 
Ya mwaka 1997, imetua bongo 2007, engine capacity 1980, IG, six cylinder, imekwenda Km 120,000. Fuel consumption ni 9km/liter Ndani ni mpya kabisa. Haina ugonjwa wowote, muda wote ilikuwa inatumiwa na wifi/shemeji yenu, so imelelewa kidemu demu. Kama ni safari Dar - Mwanza wewe ni kuweka fuel na kulala mbele. Gari ipo Arusha city. Bei ya mwisho ni 6M, no further negociation.
 
Nimependa eti imelelewa kidemu demu, kweli wewe ni pure mangi biashara unaijua.
 
Mkuu ukiomba kazi the comedy hukosi, umenichekesha sana. Unajua jamaa wameomba details sasa ndo nikaona nifunguke japo kidogo coz nina uhakika na product yangu
 
Ya mwaka 1997, imetua bongo 2007, engine capacity 1980, IG, six cylinder, imekwenda Km 120,000. Fuel consumption ni 9km/liter Ndani ni mpya kabisa. Haina ugonjwa wowote, muda wote ilikuwa inatumiwa na wifi/shemeji yenu, so imelelewa kidemu demu. Kama ni safari Dar - Mwanza wewe ni kuweka fuel na kulala mbele. Gari ipo Arusha city. Bei ya mwisho ni 6M, no further negociation.

Six cylinder ya mwaka 1997.
Hata hiyo M.4 ni nying sana.
 
Ya mwaka 1997, imetua bongo 2007, engine capacity 1980, IG, six cylinder, imekwenda Km 120,000. Fuel consumption ni 9km/liter Ndani ni mpya kabisa. Haina ugonjwa wowote, muda wote ilikuwa inatumiwa na wifi/shemeji yenu, so imelelewa kidemu demu. Kama ni safari Dar - Mwanza wewe ni kuweka fuel na kulala mbele. Gari ipo Arusha city. Bei ya mwisho ni 6M, no further negociation.

Ngoja nichimbe ki - swimming pool cha kuogelea hilo gari, maana najuz GX 100 hazinywi mafuta bali zinaogelea
 
Jaman mwenye pick up single kibin nahitaji me nipo dar, nataka mbili, check me through 0753765533
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom