FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,792
- 5,375
GT yupo bana...Kwa ID nyingine lakini.
Binafsi sijawaona Mkandara,Kiranga na Mwafrika.
kwanini wabadili ID lakini? tunamiss michango yao sana
GT yupo bana...Kwa ID nyingine lakini.
Binafsi sijawaona Mkandara,Kiranga na Mwafrika.
Kweli mkuu,hawa mabwana walikuwa wanaleta uwiano mzuri wa hoja jamvini hasa GT kwa kuleta mawazo ya upande wa pili wa shilingi.
Hawa walikuwa miongoni mwa Selebreti wakubwa wa JF, Wako wapi? Binafsi nime miss sana michango yako. Kama mmebadilisha majina, naombeni mni PM pse.
Kitila
kwanini wabadili ID lakini? tunamiss michango yao sana
bwa ha ha ha ha ha ha ha haHawa mbona wapo tu mkuu? FMES tena yupo sanaaa hapa...but kivingine, aliingia mitini baada ya issue yake USD 300 na dilli za kutafutia kazi watu majuu...so hii ID kaisusa kiaina but he is here.....! GT is here sana, naye kivingine......!
Watu walioadimika ni kama BLUE RAY/KUHANI et al!
kwanini wabadili ID lakini? tunamiss michango yao sana
Hata Mzito, na yeye akipumzika one time jamvi linapwaya hahahaKitila, ni kweli sio tu wewe unawamiss, JF is not the same without them, kwa upande wangu kama Mzee Mwanakijiji anapoamuaga kuchukua vakasheni, mijadala inakuwa not the same.
FMES= Fundi Mchundo, Uwiano Maalumu, Uwiano UsioMaalumu.
Bwahahaha!!!!!
Wapi Mambo Jambo aka MJ na NN na miss kelly baby?.
Enzi hizo moto unawashwa na kumkoma nyani mchana kweupeeeeeeee, maslahi ya Taifa mbele chama nyuma; those were times in JF ambapo hutaki kumiss hata dakika moja, watu walikuwa wakesha JF.
Hivi mwanachama wa JF akifa tutajuaje kama hakuwahi kudisclose ID yake kwa mtu yeyote humu JF?
Sidhani kama wapo hawa kwa ID zingine. Tone zao zinajulikana tungeshawajua. Binafsi wameniudhi sana GT na FMES kwa kuchikichia hata wasituage sisi wenzao tulioanzisha hili jahazi 2006. Popote mlipo naombeni mni PM-nina message nzito sana. Hii nchi ni ya kwetu wote, hamuwezi kutususia. Kumbe mnamsusia nani?
Yaani GT ni mmoja wa watu walionifanya niipende na kujiunga na JF 2008, jamaa alikuwa anauwezo wa kusimamia hoja yake hata kama forum nzima mkipinga, mara nyingi alikuwa akija na mitazamo tofauti na ya walio wengi, naamini angeendelea kuwepo baadhi ya mambo ya kijinga jinga yanayojadiliwa JF siku hizi yangepunguwa, manake sasa JF imekuwa kijiwe cha "kuchati" zaidi!