Game Theory, FMESS

Kitila Mkumbo

JF-Expert Member
Feb 25, 2006
3,354
1,943
Hawa walikuwa miongoni mwa Selebreti wakubwa wa JF, Wako wapi? Binafsi nime miss sana michango yako. Kama mmebadilisha majina, naombeni mni PM pse.

Kitila
 
Game Theory tulikuwa tunaandika nae kwenye blog moja, mara kapotea. Field Marshal nimeona wakati wa uchaguzi aliandika mara moja au mbili.

Mchango wao unakumbukwa na wengi tulikuwa jukwaani kwa muda.
 
Kweli mkuu,hawa mabwana walikuwa wanaleta uwiano mzuri wa hoja jamvini hasa GT kwa kuleta mawazo ya upande wa pili wa shilingi.
 
Hawa walikuwa miongoni mwa Selebreti wakubwa wa JF, Wako wapi? Binafsi nime miss sana michango yako. Kama mmebadilisha majina, naombeni mni PM pse. Kitila
Kitila, ni kweli sio tu wewe unawamiss, JF is not the same without them, kwa upande wangu kama Mzee Mwanakijiji anapoamuaga kuchukua vakasheni, mijadala inakuwa not the same.
 
Game Theory tulikuwa tunaandika nae kwenye blog moja, mara kapotea. Field Marshal nimeona wakati wa uchaguzi aliandika mara moja au mbili.

Mchango wao unakumbukwa na wengi tulikuwa jukwaani kwa muda.
Blog gani mkuu! Kweli hawa wakuu wamepotea sana.
 
Hawa walikuwa miongoni mwa Selebreti wakubwa wa JF, Wako wapi? Binafsi nime miss sana michango yako. Kama mmebadilisha majina, naombeni mni PM pse.

Kitila
Hakika huyu GT sijaona michango yake siku nyingi na alikuwa analeta chalenge sana...Mfano siku ya mabomu ya mbagala
 
Siyo siri wakuu hawa jamaa hasa GT wamepotea kabisa huwezi amini mara ya mwisho kupost hapa ilikuwa ni tarehe 1/9/2009 alikuwa akimjadili nlandina Nyoni na akapotea kabisa, Rev Kishoka naye yuko wapo au mahubirinyame mbana!
 
GT yupo bana...Kwa ID nyingine lakini.
Binafsi sijawaona Mkandara,Kiranga na Mwafrika.
 
Fmes decided to stop giving away "family secrets" I suppose, GT must have been threatened aka warned. What a void they have left
 
Kuna yule Mkuu alikuwa anajiita Kuhani,na avatar yake ya HardTalk/Malcolm X,basi ni utata wa hoja kichizi.Dah aisee siku hizo JF palikuwa pananoga bwana!
 
Kweli JF imepungua, maana kama hoja/Mjadala ulikuwa unakaa wiki zaidi ya moja unaongelewa, ilikuwa sio mchezo
 
Kitila, ni kweli sio tu wewe unawamiss, JF is not the same without them, kwa upande wangu kama Mzee Mwanakijiji anapoamuaga kuchukua vakasheni, mijadala inakuwa not the same.
wewe nawe....angrrrr...JF itakuwa JF bila wao......kama wameamua kuchukua time zao inawahusu nini nyie?.........may be wamesha no more..so pigeni kimya...walikuja kimya na wameondoka kimya kimya.....
Blog gani mkuu! Kweli hawa wakuu wamepotea sana.
kwa january makamba......
 
Namkumbuka na mtu mwingine alikuwa akiitwa Veracity!...Sijajua kama amebadili jina au ndo amebadili mtazamo juu ya JF!...
 
Namkumbuka na mtu mwingine alikuwa akiitwa Veracity!...Sijajua kama amebadili jina au ndo amebadili mtazamo juu ya JF!...
Nilijua tu lazima uchangie...unapenda kujua jua watu weye....utakuwa shori tu...
 
Kitila

Hao watu wapo sana tu... chunguza utaona!!!

Kama huamini chkonoa NSSF au Tingatinga aka kibajaji... ukimaliza niambie
 
hahah gt yumo humu kwa id tofauti...nn na ab tichaz wamepotelea wapi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom