Mzee Hamisi, Mzee Tilalila na Christopher Alex walienda wapi hawa jamaa?

The Phylosopher

JF-Expert Member
Mar 11, 2015
1,503
2,046
Kuna wakati haya majina yalijipatia umaarufu mkubwa sana hapa nchini kutokana na kuchangia mijadala mbalimbali ya kisiasa kidini na kijamii.

Hawa walikuwa ni miongoni mwa watu waliokuwa wakichangia mada mbalimbali zilizoletwa na ukisikiliza michango yao unapanuka sana kiufahamu na kiuelewa.

Kama kuna mtu anajua hawa watu wanafanyia wapi mijadala siku hizi naomba anisaidie natamani niendelee kuwafuatilia!
 
Wapo radio fm kipindi cha mada mezani ila nina mda sijasikiliza hiyo radio tena ila kama sijakosea wanapatikana Mbagala huko
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom