Game Theory, FMESS

Sidhani kama wapo hawa kwa ID zingine. Tone zao zinajulikana tungeshawajua. Binafsi wameniudhi sana GT na FMES kwa kuchikichia hata wasituage sisi wenzao tulioanzisha hili jahazi 2006. Popote mlipo naombeni mni PM-nina message nzito sana. Hii nchi ni ya kwetu wote, hamuwezi kutususia. Kumbe mnamsusia nani?

Mkuu,

Usiwalaumu sana huwezi jua pengine wanaweza kuwa wamenyamazishwa maana njii hii ina mengi. watu hawa FMES na GT wanaingia katika vikao vizito vya nchi na kutupa details unaweza kuta wameshughulikiwa sasa wamebakia kimya. Namkumbuka FMES na vikao cha chama ninamkubali binafsi. GT kwa kufichua maovu he deserve his/her credit.
 
Ukweli ni kwamba JF imegubikwa na cheap politics siku hizi, watu wamekuwa wavivu kufikiri na hakuna constructive thought ambazo zinakufanya uogope kuanzisha majadiliano kama upo shallow.

Vijana wengi wamejiunga na wanadhani hapa ni makao makuu ya CDM. Vijana wengi ambao tulihama kutoka youngafrican kuja hapa wamepotea na kuacha maana hakuna mishemishe kama ya zamani.
 
JF ya sikuhizi sio ile ya zamani. Lakini sidhani kama hawa members wame quit moja kwa moja, ila kuna majibu saa nyingine unapewa humu, inabidi kwanza ukanywe chai.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom