Gadner Kung'atuka Clouds FM

2.jpg
kashori gani haka? walahi kudadadeki kanaonekana katamu sana....una namba yake ya mob?
 
hata ningekuwa mimi nisingeweza kuendelea kufanya kazi na redio ambayo tayari imenunuliwa na mafisadi na nisingeweza kuendelea kufanya kazi na watu bogus km kibonde?.......NI sawa na mtu kukiubali kuendelea kuwa ccm na kufanya kazi na kikwete na makamba............kuondoka ndo solution
 
REDIO ifungwe maana haina tija kwa watanzania zaidi ya kuwaibia kwa jina la burudani na iendelee
 
kashori gani haka? walahi kudadadeki kanaonekana katamu sana....una namba yake ya mob?

Mkuu unanitisha
1. Ukimwi upo leo tarehe gani?
2. Hivi unawezza kuoa mwanamke aliyepita clouds kweli?
3. Pia ni muhimu kuamjua/kuangalia mwanamke kuanzia mguuni hadi kichwani ww uso ndio umekudanganya
 
nasikia alipata mgao kidogo wa zile pesa ambazo mafisadi walimpatia kusaga ili kuchafua chadema.....nasikia kibonde alipata mgaop mzuri sana.............
wabaki wafuasi wa mafisadi na kampeni team ya ccm ikiongozwa na kibonde................hata mimi ningeondoka fasta
 
Mkuu unanitisha
1. Ukimwi upo leo tarehe gani?
2. Hivi unawezza kuoa mwanamke aliyepita clouds kweli?
3. Pia ni muhimu kuamjua/kuangalia mwanamke kuanzia mguuni hadi kichwani ww uso ndio umekudanganya

kweli mkuu hako katoto katamu usoni ila ukitaka kusoma plate number ni kama kanaogopa sindano.......
 
..kuna watu hapa mnasema gardner anaboa, lakini bado mnaendelea kumsikiliza. Utamsikilizaje mtu anayeboa??? ina maana unapenda jinsi anavyoboa, kwa hivyo haboi............
 
mbona wengi wameondoka pale na wanaendelea na maisha
  1. ray c
  2. tid
  3. ongezea...
sioni tatizo!
 
Katika matangazo ya jioni ya leo tarehe 1/12/ 2010 wametangaza rasmi kuwa Gardner amemaliza mkataba. Pia ephraim Kibonde anaondoka. Haraka haraka unaweza kuhisi nini msukumo? Ndio kumaliza mikataba, Au labda kutokana tna utatangazaji wa kishabiki ndo kwenda kulipwa fadhila na JeyKey kama ma Dc wapya ktk serikali ya jeykey.

Hebu subiri kidogo tuone!
 
Who cares! They are useless to me! Wacha wachape lapa hata wakipewa u katibu tarafa hiyo juu yao na huyo anae wapa ila najua hawawezi kuniongoza mimi wala familia yangu!
 
Katika matangazo ya jioni ya leo tarehe 1/11/ 2010 wametangaza rasmi kuwa Gardner amemaliza mkataba. Pia ephraim Kibonde anaondoka pia. Haraka haraka unaweza kuhisi nini msukumo? Ndio kumaliza mikataba,Au labda kutokana tna utatangazaji wa kishabiki ndo kwenda kulipwa fadhila na jeykey kama ma Dc wapya ktk serikali ya jeykey. Ebu subiri kidogo tuone!

Rekebisha hiyo tarehe. Hivi wana sababu gani za kututangazia kwisha kwa mikataba ya wafanyakazi wao. Mbona walipoanza hiyo mikataba haikutangazwa? I am not interested to know at all!!!

Tiba
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom