Fungua hapa: ATAKAYEJIBU HILI SWALI ZAWADI YAKE VOCHA SH. 2000

mi nakusubiri bwana utoe jibu, nimeshindwa kulog out nasubiriwa jibu lako coz naona wote tumeshindwa, ikiwezekana lipeleke kwa magreat thinkers.
 
huyu jamaa asitake kuwasumbua hicho kitendawili alikitunga best yangu fussi mwaka 2008 kipindi kile xtreme meseji zimeingia akafoward kwa watu mbalimbali bt hata yeye alisema alijiandikia tu kuwachemsha watu
 
Network searchng................0%
loading......12........23....24...31%
Netwrk failed
aaah nikupe mji njoo ikulu upate msos wa jion!
Lkn tuma vocha yangu kwanza!
 
mi nakusubiri bwana utoe jibu, nimeshindwa kulog out nasubiriwa jibu lako coz naona wote tumeshindwa, ikiwezekana lipeleke kwa magreat thinkers.

hata mm naona hapa watu wamechemsha labda nilipeleke kule wanaweza wakajua jibu na nkatoa iyo zawadi.
 
Network searchng................0%
loading......12........23....24...31%
Netwrk failed
aaah nikupe mji njoo ikulu upate msos wa jion!
Lkn tuma vocha yangu kwanza!

ss nitume vocha kwani umepatia jibu? Hahahaha.
 
Back
Top Bottom