Fungua hapa: ATAKAYEJIBU HILI SWALI ZAWADI YAKE VOCHA SH. 2000

hamic mussa

JF-Expert Member
May 1, 2012
227
19
kuna kitu cheusi kama giza na cheupe kama barafu. Ni haramu kuliwa na ni halali kunywa. Kina herufi 5 na kinaanza na herufi M. Kinatumiwa na wanaume mara tatu kwa siku na wanawake mara moja katika umri wao. JE NI KITU GANI HIKO
 
Vocha ya buku 2 ndogo sana. Simu yangu haijazoea. Fanya buku kumi nikujibu fasta
 
kuna kitu cheusi kama giza na cheupe kama barafu. Ni haramu kuliwa na ni halali kunywa. Kina herufi 5 na kinaanza na herufi M. Kinatumiwa na wanaume mara tatu kwa siku na wanawake mara moja katika umri wao. JE NI KITU GANI HIKO

Ni MAITI! LETE VOCHA HIYO
 
Back
Top Bottom