Fungua hapa: ATAKAYEJIBU HILI SWALI ZAWADI YAKE VOCHA SH. 2000

Mkuu hamic mussa, nitaongea na prezda akuteuwe uwe mbunge wa viti maarumu, leo ameteua 3 lakini bado ananafasi kama 4 ili ziwe 10. toa jibu tulikubali kwanza.
 
Last edited by a moderator:
Aisee nshajua jibu.

Ngoja nisubiri muendelee kuchemsha. Dah fumbo la kijanja sana. Usipotumia akili utatoka kapa.

Ngoja niendelee kucheka kwanza.
 
mkuu watu wamechemka toa jibu basi, halafu unaniudhi unavyolinga kutoa jibu utasababisha nikutukane nipewe BAN bureeeee
 
Aisee nshajua jibu.

Ngoja nisubiri muendelee kuchemsha. Dah fumbo la kijanja sana. Usipotumia akili utatoka kapa.

Ngoja niendelee kucheka kwanza.

babu hutaki salio la buku mbili???
Toa jibu upate buku mbili
 
Hili ni jukwaa la utani kumbe,halafu watu tunaumiza vichwa vibaya,jibu hakuna na nipatie hiyo zawadi
 
Back
Top Bottom