Emanuel Makofia
JF-Expert Member
- Jan 5, 2010
- 3,832
- 631
I like it, watu ni wabunifu sana !!!!
I like it, watu ni wabunifu sana !!!!
naona wadada wa3, waliotengeneza uso wa chui/chita.
kivipi??
wadada wawili walioko mbele wamekaa na kukunja magoti kwa mbele, mwenzao mmoja kaja kuwakumbatia kwa nyuma. nguo walizovaa zimechorwa macho ya chui na huyu aliyewakumbatia imechorwa pua na miguu ya mdada wa nyuma imetengeneza ulimi wa chui mwenyewe.
sawa ni ubunifu ila hujajibu swali!!
Umejitahidi ila jaribu tena
cc=gfsonwin
vitu vi 5
wadada 3
chita/chui-1
mkeka-1
naona wadada wa3, waliotengeneza uso wa chui/chita.
kivipi??
wadada wawili walioko mbele wamekaa na kukunja magoti kwa mbele, mwenzao mmoja kaja kuwakumbatia kwa nyuma. nguo walizovaa zimechorwa macho ya chui na huyu aliyewakumbatia imechorwa pua na miguu ya mdada wa nyuma imetengeneza ulimi wa chui mwenyewe.
NA HII PIA
Nahisi kama kesi za fumanizi zinazidi kila kukicha! hii ni kwa sababu waume wamukua buzy kutafuta hela au !!!!!!Jamani!!!! haya huyu nae kakamatwa ugoni au ndo wale wanaodondokaga na ungo halafu wanakuwa hawaongei na macho wameyatoa kama fundi saa doooh!!
Sakapal, kweli umeniongezea maisha...... yaani nimecheka sana, mwenye kuwecha picha hata hasemi chochote!!!
Nahisi kama kesi za fumanizi zinazidi kila kukicha! hii ni kwa sababu waume wamukua buzy kutafuta hela au !!!!!!
Dah! yaani mimi sijui niseme nini, nahofia kukisia hukumu, ila naomba tu wachawi washindwe na walegee kuangukia kitandani pangu.... teh teh....hahahaaaa yaani hata mie nimecheka kwelikweli nilipoiona hiyo picha pata picha unaingia chumbani kwako from kazini au safari unamkuta jamaa kakaa namna hiyo kitandani kwako kisha mkeo nae anakukimbilia na kukwambia, '' mume wangu mwanga kaanguka kutoka kwenye ungo hana hata nguo yaani mie nilikuwa nimelala kitandani bila nguo nikashangaa mtu kanidondokea juu nikiwa sielewielewi kabla hata sijapiga kelele la msaada ndo unaingia karibu unisaidie kumtoa huyu mchawi atakuwa amekuja kutuwangia mumewangu''.
Wewe kama mume utafanyaje hehehehe mke ndo kajitetea hapo.
wako busy kutafuta hela na wamesahau wajibu wao home looh ndo wanakutana na wanga wamedondoka kutoka darini na wamedondokea vuitandani mwao.
Dah! yaani mimi sijui niseme nini, nahofia kukisia hukumu, ila naomba tu wachawi washindwe na walegee kuangukia kitandani pangu.... teh teh....
dada+dada+ dada+ kipepeo+kapeti=5Kuna wadada 3, chui, kipepeo, carpet, .......bado kimoja