Hahahahaaaa NN kakosewa na nani kwani?
Yeahh, mpaka mtu unashangaa....Ni kweli kabisa Lizzy. Tena wakati mwingine katika mazingira magumu mno ambayo unadhani mkosaji hatasamehewa.
Hamna cha madawa wala nini, watu wanalogana vyumbani huko.Lizzy kumbuka wapo ambao wanakuwa wamewekewa madawa, naomba hao usihausishe, check na walio na akili zao timamu.
Mambo yamebadilika, wapo wanaume wanasamehe. Nyani ngabu tu ndio hasamehi.
Yeahh, mpaka mtu unashangaa.
Alafu BAK nna deni lako. . .
Hivi kwanini mwanaume anapofumaniwa na mkewe au mpenzi wake huomba msamaha na kusamehewa lakini unapomfumania mwanamke na jamaa mwingine hakunaga msamaha? Hapo huwa ndo mwisho wa mapenzi. Kuna nini kinachopelekea haya kutokea katika jamii.
Craaaap!
Hahahaha BAK wewe ndio unanidai mimi, ngoja nijipange alafu ntakuibukia.....nimeshalipa mbona tena siku nyingi? Haya hebu tuongee kule faragha mie huwa sipendi kukaa na madeni.
kwani unasamehe fumanizi?
Teh ila wengine hawalogeki km NN