Fumanizi kwa Mwanamke/Mwanaume

Mh. Rejea ulichokiuliza nimeshuka na kamba hii sijaona aliejaribu kugusa atlist 50% ya kinachosababisha, hilo litokee.
Ni hivi : Once inapotokea kadhia hiyo Mwanaume hesabu zake huenda kwenye :- 1. Nimemfumania je ? Huu mchezo kwanza kauanza lini, hii ndiyo mara yake ya kwanza ama laa.
2. Kama kauanza zamani hawa watoto wawili tulionao ni wangu? 3. Kama kaanza zamani je? Ananipigia ni huyuhuyu niliemfumania nae ama kuna zaidi na zaidi.
4. Kama mchezo kauanza leo na huko mbele akapata mimba itakua ni yangu?
5. Inamana kila mimba atakayopata tukapime DNA ? Ikiwapo na watoto tuliokwisha wazaa?
6. Kama patatokea amepata mimba isiyo yangu ndiyo kusema mali zangu zitakujarithiwa na isiyo damu yangu? Kwa kuzingatia yote hayo ndiyo mana hutokea vile ulivyosema.
 
Dah kweli hayo maswali ulikijiuluza lazma ukose majibu
Judgement umenena mkuu....wasiwasi lazma uzidi na kukosa hatma ya future na km *ukiamua kuendelea na mahusiano unakuwa umeamua *kuwa na moyo wa CHUMA.
 
mfume dume 2 huo.
ila wapo wanaume wanaosamehe pia.
eti mwanamke akifumaniwa muasherat afu mwanaume ye ni rijali lol.
msamaha ni kwa pande zote 2 wote wanahitaj adhabu either wasamehewe au kutosamehewa.
 
Tatizo ni kuwa mwanamke anafanywa ila mwanaume anafanya (kiafrica zaidi)so mwanaume akichukuliwa mwanamke wake anaona kama amedhalilishwa kuwa hamfanyi vizuri ndio maana mwanamke katoka nje.Na mke akimfuma mwanaume wake akifanya mwingine ugomvi huwa sio mkubwa sana kwa kuwa mke anaona kama mmewe alikuwa Anamfanya(kumkomoa) huyo msichana mwizi.Source ni "Theory ya kufanya na kufanywa"Ila majuu haitumiki coz wengi(wake kwa waume) wanazitambua haki zao
 
da i think its nature,mi nikifumaniwa i expect her to forgive me ila cku nikimfumania ntaua mtu
 
Tatizo ni kuwa mwanamke anafanywa ila mwanaume anafanya (kiafrica zaidi)so mwanaume akichukuliwa mwanamke wake anaona kama amedhalilishwa kuwa hamfanyi vizuri ndio maana mwanamke katoka nje.Na mke akimfuma mwanaume wake akifanya mwingine ugomvi huwa sio mkubwa sana kwa kuwa mke anaona kama mmewe alikuwa Anamfanya(kumkomoa) huyo msichana mwizi.Source ni "Theory ya kufanya na kufanywa"Ila majuu haitumiki coz wengi(wake kwa waume) wanazitambua haki zao
Theory ya ukweli sana na mwanamke kutoka nje ni kumdhalilisha sana mwanaume...lol
 
kusameheyana lazima mkiwa kama binadamu kila mja anamapungufu yake mkeo shetani akimpitia mume kumsamehe mke wajib.
 
Mfumo dume unawasumbua. Ila kiuhalisia mwanaume anakubalika kuwa na mwanamke zaidi ya mmoja lakini mwanamke haikubaliki.
 
Mh. Rejea ulichokiuliza nimeshuka na kamba hii sijaona aliejaribu kugusa atlist 50% ya kinachosababisha, hilo litokee.
Ni hivi : Once inapotokea kadhia hiyo Mwanaume hesabu zake huenda kwenye :- 1. Nimemfumania je ? Huu mchezo kwanza kauanza lini, hii ndiyo mara yake ya kwanza ama laa.
2. Kama kauanza zamani hawa watoto wawili tulionao ni wangu? 3. Kama kaanza zamani je? Ananipigia ni huyuhuyu niliemfumania nae ama kuna zaidi na zaidi.
4. Kama mchezo kauanza leo na huko mbele akapata mimba itakua ni yangu?
5. Inamana kila mimba atakayopata tukapime DNA ? Ikiwapo na watoto tuliokwisha wazaa?
6. Kama patatokea amepata mimba isiyo yangu ndiyo kusema mali zangu zitakujarithiwa na isiyo damu yangu? Kwa kuzingatia yote hayo ndiyo mana hutokea vile ulivyosema.

TATIZO LINGINE
Mwanamke akianza kutoka nje ya ndoa huwa ni vigumu kuacha mahusiano mapya, hujiona amefaulu mtihani wa maisha. Mara nyingi akikutana na mwanaume aliyezini naye hata kama ni zamani huwa hana ujasiri wa kumkatalia ikiwa jamaa ataomba kupewa mzigo tofauti kabisa na mwanaume, yy akiamua kuacha anaacha kabisa wala hataki kumuona wala kumsikia huyo mwanamke

pia mwanamke ni rahisi kuambukizwa magonjwa kuliko mwanaume hivyo mwanaume hujiona kuwa wakati wowote anaweza kuambukizwa magonjwa na mkewe

Tatu mwanamke akimpenda mwanaume wa nje ya ndoa huwa ni vigumu kumuacha kabisa na uzoefu unaonyesha ili angalau aachana naye lazima azae naye japo mtoto mmoja. Ushahidi mzuri ni matokeo ya Vipimo vya DNA violivyofanywa na Mkemia Mkuu wa Serikali miaka ya 2008 katika viwanja vya sabasaba ilionesha kati ya watu wopte waliopima watoto wao zaidi ya asilmia 60% ya wanaume wanalea watoto ambao sio wa kwao.

la msingi nisisitize kuwa kusameheana ni jambo la msigi sana maana bila hilo dunia haiwezi kuendelea. lakini pia niweke msisitizo kuwa ni dhambi kubwa kwa mwanaume/mwanamke kuzini nje ya ndoa na Mungu anachukizwa sana na jambo hilo na huachia adhabu mara moja. ndio maana wenye ndoa wengi wana ukimwi wengine waliupata na kutoka nje ya ndoa kwa kufanya tendo moja tu kwa kisingizio anamkomoa mwenzake, wanajuta

acheni dhambi la sivyo mtaangamia
 
kusameheana ni jambo zuri ila wahusika wanahitaji kubadilika ili msamaha na toba yaon iwe ya kweli
 
Ki ukweli mi mtazamo wangu naonaga kama mwanaume amepewa ka upendeleo flani hivi japo isiwe sababu ya kucheat !!
hata kwenye maandiko
utasikia fulani alikuwa na wake kadhaa lakini huwezi sikia eti Sara alikuwa na waume kadhaa.
Mimi msimamo wangu labda bi mkubwa awe anisaliti kwa kificho sana lakini once nikilialaizi lazima nibwage manyanga cause hata bible inasema mwanamke haachwi ila kwa zinaa !! ni mtazamo tu jamani msinisome tofautiii.
 
Back
Top Bottom